KERO Nimekuja kutembea kijijini, nimeambiwa nichangie Tsh. 1,000 ya Mwenge, ni sawa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

EricMan

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
3,739
Reaction score
6,598
Nipo kijijini nimeenda kwa Mwenyekiti kumjuza nipo mtaani kwake, kaniambia kuwa natakiwa kutoa shilingi elfu moja ya mchango wa Mwenge. Sasa najiuliza mchango wa mwenge kivipi?

Mwenye ujuzi anijuze.
 
Nipo kijijini nimeenda kwa Mw/kiti kumjuza nipo mtaani kwake, kaniambia kuna elfu moja yamchango wa Mwenge. Sasa najiuliza mchango wa mwenge kivipi?

mwenye ujuzi anijuze
Ichangie CCM
 
Eeeenhh mnaendaga kuripoti kwa M/kiti kumbe. Hayo mambo si yaliishaga na uongozi wa balozi Enzi zile.
 
Nipo kijijini nimeenda kwa Mw/kiti kumjuza nipo mtaani kwake, kaniambia kuna elfu moja yamchango wa Mwenge. Sasa najiuliza mchango wa mwenge kivipi?

mwenye ujuzi anijuze
Ungemwambia tuu Unaliwa weweeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenge wajiamulie kukimbiza wao wewe uchangie kwa namna gaani!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…