hiyo ni fallacy of argumentum ad hominem, shambulia hoja usimshambulie mtoa hoja.Kijana kuendelea kujadiliana na mimi ni kujichimbia shimo. Swali langu liko wazi na halijamfunga niliye muuliza, maana yake hakuna jibu kinyume chake.
Imani ni kusadiki juu ya jambo fulani pasi na shaka yoyote na kufungamana na jambo hilo. Mathalani, ukana Mungu ni imani sababu wao wanaamini kwa sababu zao ya kuwa hakuna Mungu.
Kwa ziada ya matumizi ya tamko imani si tu katika Dini bali hata katika maisha ya kawaida tunalitumia tamko hili kinyume na imani za kidini, nakupa mfano, huwa kuna kauli zifuatazo katika jamii zetu.
1. Usimuamini Mwanasiasa. (Hapa tamko hili halijaja kwa munasaba wa dini bali kwa muktadha wa hali ya watu hao)
2. Watoto wa kike hawaaminiki (Kadhalika limetumika tamko imani kwa sifa yake).
Mifano iko mingi sana juu ya tamko hilo, kwahiyo narudia tena swali langu halikumfunga muulizwaji. Kwahiyo swali langu lilimili juu ya kile anachokiamini kile anacho kijua kile anacho ishi nacho kile alochofungamana nacho kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha.
hapo hujathibitisha bali umeonesha shaka zaidi kwamba habari hizi zipo katika kundi la "hearsay" na hivyo ni ngumu sana kutosheleza kama ushahidiSafi kabisa naelekea kukuthibitishia jambo hili, ila kuna vitu tuwekane sawa. Wewe Historia unayo irejea ni ipi na ilianza kuandikwa lini na nani ?
Dondoo kuhusu Ithibati ya mwezi kupasuka na nukta muhimu
1. Kwanza unatakiwa ujue ya kuwa tukio la kupasuka kwa mwezi ni tukio lililo hadithiwa na watu wengi kwa zama husika mpaka habari hii kutufikia sisi, katika istilahi za uhakiko wa habari hali hii ya masimulizi tunaiita "Mutawatir".
2. Tukio hili lilikuwa ni muujiza kwa wale walio mtaka mtume afanye muujiza ili wathibitishe ya liwa yeue ni mtume kweli.
3. Naweka kiporo nukta hii nitakapo kuja kukujibu juu ya marejeo yako ya Historia.
4. Siyo kwamba tukio limekaa mithili ya hadithi za Abuu Nawasi (Usahihi wa jina lake ni hili, na visa vyake si vya kweli kwa kumnasibishia yeye). Habari za Abuu Nawas zinaelezeka kielimu sababu sababu yeye amezuliwa habari hizo.
sasa hii ndio nini?Twende taratibu, nitalifanya baada ya wewe kujibu swali langu hapo juu, kwamba hicho ulichokiandika dhidi ya Dini yangu unaweza kukipinga kielimu ? Ukijibu ndiyo au hapana. Nathibitisha kisha narudi kwenye swali langu hili "Pinga kielimu".
Ithibati ya hicho ulichokitaka tunakipata katika Qur'aan na Hadithi za mtume wa Allah.
Sasa unataka nianze kukufundisha somo la Logic. Kauli niliyo kuambia ni uhalisia wa mambo na haihusiani na kiini cha hoja.hiyo ni fallacy of argumentum ad hominem, shambulia hoja usimshambulie mtoa hoja.
hiyo mifano uliyoiweka haijajibu swali langu hili "kwanini umsetie majibu ya swali yawe katika mfumo wa kiimani?"
Kijana punguza kukurupuka, naposema naelekea kuthibitisha na kutoa dondoo ujue bado ithibati sijaweka, ila naweka utangulizi kupunguza maswali ya kipuuzi yasiwe mengi.hapo hujathibitisha bali umeonesha shaka zaidi kwamba habari hizi zipo katika kundi la "hearsay" na hivyo ni ngumu sana kutosheleza kama ushahidi
Kinyume chake utakuwa ni ubishi na utaishi katika ile kauli ya "Mimi sijui lakini hunidanganyi". Sasa ushakiri hujui vipi usidanganywe ?sasa hii ndio nini?
kwamba ni sahihi kukubali kila kitu unachoambiwa kua ni cha kweli endapo utashindwa kukipinga?
pointi yako ni nini hapa?
Dini husaidia sana indawa pia hltunazofata sasa nadhani zina utofauti mkubwa wa ufahamu kati ya sasa na kipindi kile cha yesu na muhammad.
Kwasasa dini ni alama ya unyonyaji. Wakati histotia za kale zinaonyrsha hizi dini za asili zilikuwa ni mifumo ya maisha kama vile ujamaa, ubepari nk.
Lkn kwasasa dini zipo kwa ajili ya kupumbaza na kunyonya wafuasi waliotengenezwa na wakapumbaa na kunyonywa
kabla ya kunifundisha mimi kajifunze kutofautisha kwanza kati ya strawman arguments na fallacy of irrelevant, ulichokiandika hapa hakina uhusiano wowote na strawman fallacy.Sasa unataka nianze kukufundisha somo la Logic. Kauli niliyo kuambia ni uhalisia wa mambo na haihusiani na kiini cha hoja.
Hakuna Ad Hominem hapo, bali wewe sasa umetumia "Strawman arguments" kuleta swali lingine kwa kubabatiza kwenye hoja yangu. Yaani swali lako ni mfu na hoja yako kadhalika.
Nakukumbusha tu ya kuwa swali langu lilikiwa hivi "Unaamini nini juu ya chanzo cha ulimwengu na maisha". Tamko hilo kama mifano niliyo kuwekea huko nyuma halihusiani na imani kama sifa. Sasa unachotakiwa wewe uonyeshe ya kuwa mifano niliyo itoa inapingana na maana ya tamko kuamini katika swali nililo muuliza.
Fanya kazi hiyo, kusema bila kuonyesha udhaifu ni uoga ulio wazi kabisa.
sasa hapo unanikosoa vipi kua siko sahihi kukuambia hujathibitisha wakati we mwenyewe umesema unaelekea kuthibitisha?Kijana punguza kukurupuka, naposema naelekea kuthibitisha na kutoa dondoo ujue bado ithibati sijaweka, ila naweka utangulizi kupunguza maswali ya kipuuzi yasiwe mengi.
Kijana uwe unasoma kisha uelewe.
hakuna jambo la kielimu linalokuja kwa kuanza na "thibitisha hakipo", "pinga kielimu" au "kanusha hakipo"Kinyume chake utakuwa ni ubishi na utaishi katika ile kauli ya "Mimi sijui lakini hunidanganyi". Sasa ushakiri hujui vipi usidanganywe ?
Sasa utakataa vipi jambo la kielimu huku huna elimu ? Nionyeshe kwa namna gani hili linawezekana ? Naona mmefundishwa kuwa wabishi na kubebeshwa ujinga vichwani mwenu bila kutafakari
Jifunze kunukuu hoja kwa ukamilifu, nitakuuliza baada ya kukupa unachostahiki, vioi hoja yako sikuidhoofisha ?kabla ya kunifundisha mimi kajifunze kutofautisha kwanza kati ya strawman arguments na fallacy of irrelevant, ulichokiandika hapa hakina uhusiano wowote na strawman fallacy.
View attachment 1593287
hapa nakuonesha ulipoiacha hoja na kumshambulia mtoa hoja, because the personal character of an individual is logically irrelevant to the truth or falseness of the argument itself
sijapinga kua swali lako halikua hivyo. Nimejua liko hivyo na ndio maana nimekuuliza kwanini umsetie category ya jibu liwe katika msingi wa kiimani?
Sababu hoja imekushinda hii na unazidi kumili katika hoja mfu yako (Strawman Argument), nakuuliza swali ni imani gani kwayo nimemlengesha niliyemuuliza lile swali ? Je ni imani ya kidini au kinyume chake na kisha uthibitishe hilo.sijapinga kua swali lako halikua hivyo. Nimejua liko hivyo na ndio maana nimekuuliza kwanini umsetie category ya jibu liwe katika msingi wa kiimani?
Sasa kuthibitisha ni sawa na kuelekea kuthibitisha ?sasa hapo unanikosoa vipi kua siko sahihi kukuambia hujathibitisha wakati we mwenyewe umesema unaelekea kuthibitisha?
haya thibitisha
Nimecheka hivi, huwa unakihariri unachokiandika au unaandika ilimradi ?hakuna jambo la kielimu linalokuja kwa kuanza na "thibitisha hakipo", "pinga kielimu" au "kanusha hakipo"
hiyo ni elimu ya kindezi na ujinga
Jifunze kunukuu hoja kwa ukamilifu, nitakuuliza baada ya kukupa unachostahiki, vioi hoja yako sikuidhoofisha ?
Ad Hominem inahusu hoja nzima mwanzo mpaka mwisho. Nakuonyesha sasa ya kuwa wewe umejenga "Strawman Argument". Nilipo muuliza muulizwaji swali la "Je unaamini nini juu ya chanzo cha ulimwengu". Aidha kwa kutokujua kwako (Hili nina hakika zaidi) ukajenga hoja mfu juu ya kile nilicho uliza,kisha ukauliza "Kwanini nimemsetia niliye muuliza swali katika mlengo wa kiimani" (Au kama ulivyo andika). Hii ni hoja mfu ambayo kiuhalisia hailengi nilicho muuliza niliye muuliza, badala yake ukaunda swali ambalo kiuhalisia halipo ili kudhoofisha ni"icho kiandika. Mfano wa swali lako mfu (Strawman Argument) ni kama walimu wawili hawa :
Mwalimu A : Inabidi tuwawekee wanafunzi wetu ratiba nzuri na kuwafundisha kwa bidii ili wapate kufaulu vizuri masomo yao.
Kisha mwalimu B anajengs hoja mfu kwa mwalimu A ili adhoofishe hoja yake.
Kisha...
Mwalimu B : Hatuwezi kuruhusu A zipatikane kizembe zembe sisi.
Huu sasa ndiyo mfano wa "Strawman Argument" ambao unaukuta katika swali lako, yaani nauliza swali kulia unaleta hoja mfu kulazimisha ya kuwa nimekusudia kushoto.
Usiniulize mimi habari za imani wakati mimi ndio nimeanza kukuuliza habari hizo hizo baada ya kuona umeandika kwenye post yakoSababu hoja imekushinda hii na unazidi kumili katika hoja mfu yako (Strawman Argument), nakuuliza swali ni imani gani kwayo nimemlengesha niliyemuuliza lile swali ? Je ni imani ya kidini au kinyume chake na kisha uthibitishe hilo.
Nimeamua kukufundisha sasa na kuuliza maswali ambayo kwa namna yoyote huwezi kutoka zaidi ya kujenga hoja ambazo ukiziweka katika kile nilicho kiandika hakikai.
Mzee naona unanichosha na kunipotezea muda.Sasa wewe umeuliza swali kua unaamini nini juu ya uwepo wa mbingu?
Nawajibika nikuulize wewe sababu ukichokiandika siyo kile nilichokiandika mimi. Yaani wewe umeleta lako ndiyo maana unakimbia swali nililo kuuliza.Usiniulize mimi habari za imani wakati mimi ndio nimeanza kukuuliza habari hizo hizo baada ya kuona umeandika kwenye post yako
Kwanini imani iwe ndio path ya kufikia jibu juu ya kile ulichokiuliza?
Kwanini ujisetie majibu kwenye njia hiyo?