Sasa hii niliyokuwekea si motto bali ni "Maana" na si "Kauli mbiu".kwanza hujaonesha kivipi kila mtu ana dini
maana ya motto ni hii "a short sentence or phrase chosen as encapsulating the beliefs or ideals of an individual, family, or institution."
maswali gani niliyoyakimbia?Naona umekuja na mtindo wa kukimbia maswali kwa wazi sana kuliko huko nyuma, nyuma ulikuwa unakimbia maswali kwa kujificha.
Nilipomuuliza mlengwa juu ya imani juu ya jambo la chanzo sikumaanisha bila imani hiyo au hizo maisha hayaendi, uamini maisha yataenda usipo amini kadhalika yataenda, sababu yupo muendeshaji wa maisha. Lengo langu lilikuwa ni kujua yeye anasema nini juu ya chanzo maisha na ulimwengu kwa ujumla. Kwahiyo usiwe una hoji juu ya mambo ambayo yako wazi sana, kiasi ambacho ukiyahoji unaonekana ni mkurupukaji kama ulivyo fanya wewe.
Kadhalika katika lengo langu lingine la kumuuliza vile ni kumzindua juu ya kufikiria mambo katika uhalisia wake.
Ile ni kauli mbiu kwasababu haiafikiani na maana halisi ambayo inatambulika kiujumla. Maana sahihi ni ile ambayo umeiweka kutoka wikipedia na mimi nimekubaliana nayoSasa hii niliyokuwekea si motto bali ni "Maana" na si "Kauli mbiu".
Hilo la kuonyesha ni namna gani watu wana Dini nimeshaonyesha tayari.
Dini iliyo sahihi kuijua ni rahisi sana, kwanza haipingani na uhalisia.
Imewasaidia watu wa dini hiyo mambo mengi sana, hasa kuweka kila kitu mahala pake.
Onyesha wapi nimemsetia huo mfumo ?maswali gani niliyoyakimbia?
sasa kama lengo lako ujue maoni yake ilikuaje umsetie mfumo wa majibu unayoyataka kwa kumuwekea dhana ya imani?
Ona ulivyikuwa mjinga. Wewe ile maana uliikataa kwa sababu ilikuwa ya Kiarabu, sasa uhalisia wake ulio pingaba nao uko wapi ?Ile ni kauli mbiu kwasababu haiafikiani na maana halisi ambayo inatambulika kiujumla. Maana sahihi ni ile ambayo umeiweka kutoka wikipedia na mimi nimekubaliana nayo
Sasa tukubaliane hapa, tufanye mjadala kwa kutumia kauli mbiu ambayo ipo katika muktadha wa eneneo fulani tu au maana halisi ambayo inatambulika na watu wote?
nenda pale ulipomuuliza swaliOnyesha wapi nimemsetia huo mfumo ?
sikuikataa kwa kigezo cha lugha ya kiarabu bali niliikataa kwasababu ilikua ipo katika muktadha mahususi kwa waarabu (motto). Na ndio maana nilikupa maana ya dini in general kwa lugha ya kiarabu uigeuze kwa kiswahili uone kama ingekuja kama wewe ulivyonipa ile "motto"Ona ulivyikuwa mjinga. Wewe ile maana uliikataa kwa sababu ilikuwa ya Kiarabu, sasa uhalisia wake ulio pingaba nao uko wapi ?
Maana zote nilizo kupa zinarejea katika ile maana ya msingi, na ile maana ni ya kilugha na maana ya kilugha huwa ina wigo mpana kuliko maana za kiistilahi, ndiyo maana zote za dini zinarejea katika ile maana ya Dini niliyo itoa mimi hapo awali.
Hatuwezi kujadiliana katika kauli mbiu sababu kauli mbiu ni msemo tu si maana. Labda nikupe mifano ya kauli mbiu na hasa huelekea katika maslahi ya walio iweka.
Mfano "Hapa kazi tu", "Maisha bora kwa kila mtanzania". Sasa hapa tutajadili nini ?
Kibwagizo
Sasa nakupa kazi, weka kauli mbiu yako kisha tuijadili (Nimecheka sana).
Sahihi kabisa na ni uhalisia. Unaweza kupinga jambo hili kielimu ?Kuna dini inaamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili na ukarejea katika hali yake,hapo haipangani na uhalisia?
Pia inaruhusu wanaume kupiga wake zao au inaupa ushahidi wa mwanamke uzito kidogo kuliko wa mwanaume, hapo inaweka kila kitu mahali pake?
Hivi kuabdika uongo kwenu nyinyi ni jambo zuri la kusifiwa siyo ? Naona unajikana.Nataa ujihukumu mwenyewe rejea ulichokiandika huko nyuma.sikuikataa kwa kigezo cha lugha ya kiarabu bali niliikataa kwasababu ilikua ipo katika muktadha mahususi kwa waarabu (motto). Na ndio maana nilikupa maana ya dini in general kwa lugha ya kiarabu uigeuze kwa kiswahili uone kama ingekuja kama wewe ulivyonipa ile "motto"
Unatumia mfumo wa dini kisheria ila si kilugha. Ndiyo maana ile maana mamma niliyokupa hizi zote zinarudi kule.karibia nchi zote za uarabuni zinatumia mfumo wa dini katika uongozi wa kiserikali. kwa muktadha huo ukiniambia kua dini ni mfumo wa maisha sitakupinga
ili tuendelee mbele nataka nijue umesimamia maana ipi ya dini, ikiwezekana iweke tena hapa
Nimeenda na hakuna hilo unalo dai. Maana swali langu lilikuwa wazi sana,kwamba kuhusu chanzo cha ulimwengu angeamua kujibu kwamba hauna chanzo, ningemuhoji au angesema chanzo chake ni "Nothing" kadhalika ningemuhoji, yaani kwa namna yoyote kwayo angejibu swali lile asingetoka.nenda pale ulipomuuliza swali
kwani hizi habari za kilugha hapa zimefikaje?Unatumia mfumo wa dini kisheria ila si kilugha. Ndiyo maana ile maana mamma niliyokupa hizi zote zinarudi kule.
Naona umekubali sasa turudi kwenye maana na si "Motto" ? Unatakiwa uongeze umakini. Hapa bila shaka lazima turudi katika maana mama inayokusanya maana zote za dini, na ni ile niliyo itoa mimi.
Nimeenda na hakuna hilo unalo dai. Maana swali langu lilikuwa wazi sana,kwamba kuhusu chanzo cha ulimwengu angeamua kujibu kwamba hauna chanzo, ningemuhoji au angesema chanzo chake ni "Nothing" kadhalika ningemuhoji, yaani kwa namna yoyote kwayo angejibu swali lile asingetoka.
Sahihi kabisa na ni uhalisia. Unaweza kupinga jambo hili kielimu ?
Pili, mwanaume ni bora kuliko mwanamke kwa majukumu aliyopewa mwanaume (Yaani sisi tunakuwa juu ya Wanawake sababu sisi ndiyo tunepewa jukumu la kuwatunza, kuwasimamia). Una hoja ya kupinga hili ?
Tatu, ni kweli inaruhusu kupiga wake zetu ila kwa kufata itifaki siyo unampiga mwanamke kama unapiga mwizi, na katika hilo pigo si pigo la kuumiza wala kutoa damu, na katika huko kumpiga ni haramu kumpiga mwanamke Usoni,bali si tu mwanamke ni haramu kumpiga yeyote Usoni, ndiyo maana katika Dini yetu mchezo wa Ndondi (Masumbwi) ni haramu. Je una hoja ya kupinga hili ?
Kijana sijui kwanini huwa unavamia mijadala ikiyo kuzidi uwezo...?kwani hizi habari za kilugha hapa zimefikaje?
napokuambia unipe maana ya dini simaanishi kwamba ukinipa zile motto ambazo ziko katika muktadha wa jamii fulani au mazingira fulani fulani kua ndio maana halisi ya dini ntakubali
dini ni nini?
Kijana kuendelea kujadiliana na mimi ni kujichimbia shimo. Swali langu liko wazi na halijamfunga niliye muuliza, maana yake hakuna jibu kinyume chake.kwanini umsetie majibu ya swali yawe katika mfumo wa kiimani?
Twende taratibu, nitalifanya baada ya wewe kujibu swali langu hapo juu, kwamba hicho ulichokiandika dhidi ya Dini yangu unaweza kukipinga kielimu ? Ukijibu ndiyo au hapana. Nathibitisha kisha narudi kwenye swali langu hili "Pinga kielimu".Thibitisha unayosema
Twende taratibu, nitalifanya baada ya wewe kujibu swali langu hapo juu, kwamba hicho ulichokiandika dhidi ya Dini yangu unaweza kukipinga kielimu ? Ukijibu ndiyo au hapana. Nathibitisha kisha narudi kwenye swali langu hili "Pinga kielimu".
Ithibati ya hicho ulichokitaka tunakipata katika Qur'aan na Hadithi za mtume wa Allah.
Safi kabisa naelekea kukuthibitishia jambo hili, ila kuna vitu tuwekane sawa. Wewe Historia unayo irejea ni ipi na ilianza kuandikwa lini na nani ?Siwezi kupinga kielimu kwa sababu sio suala la kielimu ni mithili ya hadithi za Abunuwasi.
Hakuna rekodi yoyote kwenye historia halisi na elimu yote ya anga duniani kote tukio la mwezi kugawanyika vipande viwili kisha kurudi katika hali yake.