Kuna habari kuwa walikuwa wakiwaingilia wale watoto kama mradi wa familia kwani walikuwa wakichua picha za video na kuziuza nchini ufaransa
Mtoa mada pamoja na kutoipenda signature yako napenda kuchangia kama ifuatavyo;
Yanasemwa mengi sna akuhusu sakata hili na ukweli mi nilitegemea jukwaa lingetuletea hapa taarifa ya kesi hiyo ikiwezekana (je ni kazi ngumu kupata hizo records?) tutajua nini na ni kwa uzito gani ushahidi huo unmuweka hatianai na pia kama reference kwetu; Mods na wadau saidie tuwe na reference point. Mie kuna mada mlishawahi kuijadili humu kabala sijazaliwa na kubatizwa kama mwana JF naisaka mpaka kesho na sijafanikiwa kuipata.
Nenda jukwaa la sheria iko hukumu ya mama yule hakimu aliyewahukumu. Isome Plz.Mtoa mada pamoja na kutoipenda signature yako napenda kuchangia kama ifuatavyo;
Yanasemwa mengi sna akuhusu sakata hili na ukweli mi nilitegemea jukwaa lingetuletea hapa taarifa ya kesi hiyo ikiwezekana (je ni kazi ngumu kupata hizo records?) tutajua nini na ni kwa uzito gani ushahidi huo unmuweka hatianai na pia kama reference kwetu; Mods na wadau saidie tuwe na reference point. Mie kuna mada mlishawahi kuijadili humu kabala sijazaliwa na kubatizwa kama mwana JF naisaka mpaka kesho na sijafanikiwa kuipata.
wewe akili kichwani nadhani hujui unachokiongea,hivi nani kadhibitisha kuwa wale walifanya huo uchafu,jiulize swali dogo2 wote wilishitakiwa mwanzo kwa kosa hilo leo wengine wanaachiwa wanasema hawakutenda hapo unapaonaje ndugu??mimi mwenyewe mwanasheria lakini ndugu sheria zinapindishwa sana kaka tanzania