Mchango, mawazo, maoni..

Mchango, mawazo, maoni..

leo mods wameondoa kitufe
images
Hata mimi nimekitafuta sana sikioni
 
^^
Ni kawaida sana mtu kutokuwa na hisia juu ya mtu anaekupenda sana wakati wewe walaaa huna chembe ya kumpenda
Mi nadhani unapaswa tu kumjengea hali ya kutomzoea, kutomjali na kama una ujasiri sana unaweza tu kumwambia kuwa una mtu mwingine unaempenda ili usimpotezee muda wala nguvu nyingi za kukupenda.
^^
 
Back
Top Bottom