Mchango, mawazo, maoni..

Mchango, mawazo, maoni..

miaka ishirini nadhani bado upo chini ya wazazi na ikiwezekana bado unasoma
mapenzi yaweke kwanza kando tengeneza future yako binti huna feeling na huyo mkaka kwasababu huyo sio mungu aliekuandalia yupo chaguo lako utakutana nae baaada ya kuwa mature enough

mwambie huyo mkaka ukweli kwamba huo uhusiano hauwezi kuendelea
 
Acha kukimbilia mambo ya kikubwa bado ni mdogo sana. Soma kwanza na zingatia masomo kuliko mapenzi. Ila tatizo lako ni utoto ukikua utajua.

Wapi kaeleza kama anasoma?
Ana utoto gani?
 
upo kijijini au mjini? jibu kwanza hilo kisha nije nikuambie cha kufanya mdogo. nina uzoefu wa mapenzi tangia kugonoana kwenye matuta ya viazi, long tym a go. (kibaba na kimama).
 
Ana udogo gani?

Bora ata unisaidie kuwauliza au ad niseme 28 ndo wataelewa the use of 20s...shame on them
Af watu wanauzi kama mtu hujaelewA si upite tu? Kwan lazima kuchangia kila mada?
Na huyo aliye leta maswala ya big result naona ye ndo wa kizaz cha big result....
 
Do you realy know the use of 20s???

Hafadhali biee umewatoa watu ni shai mtu anatoka tu huko kakurupuka hata bila kuzingatia matumizi ya alama katika sentensi. ooh mdogo.!!
 
Last edited by a moderator:
Bora ata unisaidie kuwauliza au ad niseme 28 ndo wataelewa the use of 20s...shame on them
Af watu wanauzi kama mtu hujaelewA si upite tu? Kwan lazima kuchangia kila mada?
Na huyo aliye leta maswala ya big result naona ye ndo wa kizaz cha big result....

Sasa shame on us inatokea wapi?? Wengi hatujaona hiyo "s".Afu mbona unakuwa mkali??Ni kiasi cha kuelekezana tu,Na that's called maturity!!,So usipanic dada,sawa eeh
 
Bora ata unisaidie kuwauliza au ad niseme 28 ndo wataelewa the use of 20s...shame on them
Af watu wanauzi kama mtu hujaelewA si upite tu? Kwan lazima kuchangia kila mada?
Na huyo aliye leta maswala ya big result naona ye ndo wa kizaz cha big result....
:A S thumbs_up: Like
Hapo sasa ndo unapogundua ufahamu wa watu katika kusoma na kuelewa mambo.

USHAURI WA BURE KWAO;

Hakikisha unasoma mada na kuelewa.
Zingatia matumizi ya alama katika sentensi.
Usipende kujibu vitu vilivyo nje ya mada.
 
if u love somebody...dont expect love in return.....(mpe hio sms).
 
Sasa shame on us inatokea wapi?? Wengi hatujaona hiyo "s".Afu mbona unakuwa mkali??Ni kiasi cha kuelekezana tu,
Tuwe tuna soma mada na kuelewa ndo tujibu sio kukurupuka..
Hayo yote ni matokeo ya kutokuelewa.
 
Sasa shame on us inatokea wapi?? Wengi hatujaona hiyo "S".Afu mbona unakuwa mkali??Ni kiasi cha kuelekezana tu,Na that's called maturity!!,So usipanic dada,sawa eeh

Sa unachangiaje kitu ambacho hukielewi??
Just be smart bas
 
aendae chooni ujue yamembana, kama huna hisia nae mpe makavu tu
 
Sasa kutokupenda ni tatizo au ni ugonjwa au ni nin sasa??
Maana sijielewi..
 
Kwani kawaambia anasoma..? mwenzenu anajiona kakua.. nyie ndo mnaangaika kumdogosha... mwali kakua
 
images
 
Back
Top Bottom