Mchango, mawazo, maoni..

Mchango, mawazo, maoni..

achana na mapenzi mdogo wangu. komaa na shule kwanza.
 
Hujamfungulia moyo wako huyo kijana!ukimpenda mtu lazima kuwe emotional connection!mfano ukiwa na mtu au maongezi unakuwa in ur own bubble of fantasy its just you,that person and the world!anyway ukipitia experience tofauti utajifunza hiko kitu kinachoitwa MAPENZI
 
Acha kukimbilia mambo ya kikubwa bado ni mdogo sana. Soma kwanza na zingatia masomo kuliko mapenzi. Ila tatizo lako ni utoto ukikua utajua.
 
Una bahati sana wewe!!!
Yaani mapenzi ya siku hizi hutakiwi kupenda... utaumizwa tu ukipenda!
 
labda una vigezo vyako sema hujakutana na mtu anayefikia hivyo vigezo/viwango.
 
BIG RESULT NOW has become a big joke

leo mods wameondoa kitufe
images
 
Maisha ya mapenzi ni ya ajabu sana..!

Utakayekuja kumpenda kwa moyo wako wote, utashangaa wala hana muda na wewe..!
 
Je nikisema unampotezea mda kijana wa watu itakuwa vibaya?

Mwambie ukweli ili ajue anapangilia vipi maisha yake
 
Back
Top Bottom