Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
2,156
Reaction score
640
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga CHADEMA makada wawili wa chama hicho Habibu Mchange na Juliana Shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa CHADEMA wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa CCM na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa CHADEMA. mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya CCM Lumumba una baraka za viongozi wakuu wa CCM na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.Aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya UVCCM na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.

Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa CHADEMA (jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa CHADEMA haina mvuto huko.Lengo kuu la safari hizi ni kumchafua Dr. Slaa kwa kumshambulia binafs (personal attacks) ili kuidhoofisha CHADEMA.

Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,Lumumba.
 
Wameshindwa kina Mkapa itakuwa wakufyonzwa!? Yupo wapi yule alietoka Mbeya na kupokea kwa sherehe pale DOM? Huyu msichana inaonyesha ni mburula.
 
That's possible. Nimeona pia thread humu kwamba Makamu M/Kiti wa CCM (Taifa) Bw. Mangula yuko Kanda ya Ziwa kikazi. Nikiunganisha na maneno ya Shibuda kwamba Chadema wamepoteza mvuto Kanda ya Ziwa, I can see something behind. Sii ajabu uamuzi wao huo wakautangazia huko huko Kanda ya Ziwa yenye wafuasi wengi wa Chadema.
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na ccm ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa ccm na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa cdm.mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya ccm lumumba una baraka za viongozi wakuu wa ccm na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.
Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya kanda ya ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa cdm(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa cdm haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua dr slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha cdm.
Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.
We na wewe ni mmbea mbona hutaji na wale wabunge 7 walio mbioni kuvaa gamba.
 
Wamechelewa sana ila nawaombea mema huko waendako maana maisha hubadilika kila uchao.
 
Wakipopolewa mawe wasije laumu mtu, watu wa kanda ya ziwa wana msimamo,wameshaichoka CCM na wameshaipokea Chadema mioyoni mwao hivyo siyo rahisi wao kuyumbishwa na hao vimada wa CCM.
 
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga cdm makada wawili wa chama hicho habibu mchange na juliana shonza wanatarajiwa kujiunga na ccm ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa harakati walizoshindwa za kuibomoa cdm wakiwa ndani na sasa wameamua kuhamia kama sio kuhamishiwa ccm na wale waliokuwa wakiwatumia wakiwa cdm.mpango huo unaoratibiwa hapa makao makuu ya ccm lumumba una baraka za viongozi wakuu wa ccm na unatarajiwa kutekelezwa muda sio mrefu kutoka sasa katika siku na sehemu maalumu itakayopangwa.aidha,vijana hawa wameahididwa nafasi za uongozi ndani ya uvccm na hasa kitengo cha propaganda na ubunge wa viti maalumu.
Kwa kuanzia vijana hawa watazunguka mikoa ya kanda ya ziwa ambako kuna mbunge mmoja wa cdm(jina tunalo) ameanza kuwasafishia njia huko kwa kudai kuwa cdm haina mvuto huko.lengo kuu la safari hzi ni kumchafua dr slaa kwa kumshambulia binafs(personal attacks) ili kuidhoofisha cdm.
Habari zaidi nitaendelea kuzitoa kadri zinavyoendelea kuvuja hapa makao makuu,lumumba.
John Shibuda
 
We na wewe ni mmbea mbona hutaji na wale wabunge 7 walio mbioni kuvaa gamba.

Mkuu Mingoi,
  • Kuhusu wabunge saba hiyo ni propaganda ya Mwigulu ,Hakuna kitu kama hicho.Sana sana anaweza kuwa ni mbunge mmoja tu ambae ni Shibuda.CCM wanahangaika sana na CDM na kujisahau kuwa adui wao sio CDM ila ni hali duni ya maisha ya watanzania( Laiti kama wangeweza kuwasaidia watanzania katika hilo CHADEMA wasingekuwa na cha kusema)
  • Hata hivyo naona hakuna haja ya kuwajadili sana hawa vijana ambao hawastahili hata kujadiliwa katika mambo ya ujenzi wa nchi yetu zaidi ya ubomoaji (Hakuna hata mmoja kati yao nimewahi kumuona au kumsikia katika ujenzi wa chama zaidi ya kubomoa).
  • Tukiweka swala la ushabiki pembeni hawa vijana ni watovu wa nidhamu kwa namna yoyote ile.Hata huko kwenu CCM wasingevumiliwa.
  • Ignoring someone pia ni busara.
 
Last edited by a moderator:
hawa watu JUliana shanza ama Habibu Mchange ni nani katika tanzania hii mpaka wapate nguvu ya kuibomoa chadema tunasubiri waje kanda ya ziwa waona habari yake hawana ushawishi wowote katika kuwahamiasisha vijana wa tanzania
 
Tena wahamie huko haraka sana!! Walisababisha nipigwa ban hapa JF kwa sababu ya maudhi yao!
 
Back
Top Bottom