Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

shadow recruit

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
1,844
Reaction score
384
HABIBU MCHANGE AKANA TUHUMA ZA KUHUSIKA NA ULIPUAJI WA HELKOPTA ILIYOWABEBA MNYIKA NA SLAA.

Leo mchana katika mkutano wake na waandishi wa habari,Mchange amewashambulia waziwazi viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo na kuwatuhumu kuhiska na mauaji ya aliyekua mbunge wa CHADEMA Tarime,marehemu Chacha Wangwe,kisha kumkana mtu aliyehusika na mauaji hayo Deus Mallya,wakati alikuwa mjumbe katika kamati iliyokuwa chini ya John Mnyika,na rafiki wa Mnyika lakini Mnyika kumkana hajawai hata kumuona.

Kisha kawataja Lissu,Mbowe na Slaa kuajiri vijana na kuwalipa kuwatesa vijana wanaoonyesha kuiunga mkono CCM katika kampeni mbalimbali za chama,hasa kwa kumwagia watu tindikali.

Pia amesema Lissu ni mbinafsi na fisadi aliyedhurumu fedha za miradi ya mazingira,na kujenga nyumba ya ghorofa Tegeta,Mbowe anahujumu mamilioni ya CHADEMA,na Slaa akihujumu fedha za chama kulipia mkopo wa NSSF.
===================================
 

Mchange mchange...!!mbona ww ulihongwa na Mbunge wa Kibaha ili ukubali matokeo..ukaenda kujenga nyumba pale kwenu Uyaoni..Kibaha..!!😀😀😕
 
Chadema kamwe hawataweza kufuta damu za watu migongoni mwao waliyofanya yote yako dhahili.
 
Mchange mchange...!!mbona ww ulihongwa na Mbunge wa Kibaha ili ukubali matokeo..ukaenda kujenga nyumba pale kwenu Uyaoni..Kibaha..!!😀😀😕
Weka picha mkuu iwe kama uthibitisho wa hoja yako.
 
CCM imepoteza pesa bure kumlipa Mchange kwani haya aliyoyaonge ni propagada zilezile za miaka yote.
Tulitarajia propaganda mpya zaidi jamani,

kwani hili suala la chacha wangwe ni uongo mbona kweli kabisa au unapingana na ukweli?
 
Mchange anateswa na njaa baas!
 
kwani hili suala la chacha wangwe ni uongo mbona kweli kabisa au unapingana na ukweli?

Wewe ndo unaujua ukweli kuliko Mahakama iliyomwachia huru deus Mallya? Uweke hapa huo ukweli
 
Last edited by a moderator:
Ni bora ndugu mchange ameweka wazi kuhusu namna CHADEMA wanavyotekeleza mauaji na ugaidi nchi hii, katika harakati za kueneza chama chao.

Hicho chombo kitakachoripoti habari mavi kama hii nina hamu nikijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…