Mchanganuo wenye Faida kwa ufugaji Kuku wa Mayai

Biashara ya ufugaji kuku wa mayai kama unamtaji na unafahamu kuhudumia kuku inalipa sana.ili uone faida fuga kuku wengi.
japokuwa unapokuwa na kukuwengi pia gharama zinakuwa kubwa kuwalisha na mambo mengine.

Endelea kupambana kujifunza utajua zaidi,kuna namna ya kujua kuku wasio taga,unawatoa kuwauza au unawatafuna kama mimi NAWATAFUNA ninavyo watafunaga.
hii itasaidia kupunguza gharama za kulisha kuku wasiotaga kwa mwaka mzima.

zingatia kuwa na vyombo vya kutosha kulishia kuku,kuku wanapokula wasibanane,hii inasaidia kuku wote kuwa na mfanano mmoja wa maumbo na wote kutaga vizuri.
wakibanana kwa kugombea chakula utakuta unakuwa na kuku wengine wembamba na wengine mwijaku
wanaokula vizuri watataga vizuri,wasiokula vizuri hawatotaga vizuri.
 
Kama kuku umewamwaga kwenye hall utajuaje kuku fulani hatagi vizuri au ana mayai uchwara?

Nadhani kwenye zile cages ndio rahisi kujua kuku kichefuchefu ukamtoa awe nyama
 
Inawezekana,hata kama wapo kuku 1000 kwenye hall.
 
Mbona nimejieleza vizuri na ndio mana nimefata ushauri huku. Jaribu kuelewa maudhui ya uzi wangu
Tatizo lililopo kwy ufugaji, wafugaji wengi wanatoa data za uongo uongo kwa iyo sio rahisi ukapata majibu sahihi kutoka kwa wafugaji wenzako
 
Back
Top Bottom