Mchanganuo wa Madiwani wilaya Mpya Dar

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,073
114,571
Tamisemi wameongeza Wilaya mpya ya Ubungo na Kigamboni.Hivyo kulazimu uchaguzi wa mameya wa Kinondoni na Ubungo kurudiwa.

UKAWA tuko makini kupambana na hujuma na fitna zozote na CCM.Madiwani ni kama ifuatavyo,Kinondoni:

CHADEMA Madiwani 10 na wabunge 2,
CCM madiwani 10 + wabunge 0,
Wilaya mpya ya Ubungo:
CHADEMA Madiwani 11 + wabunge 2
CCM madiwani 2 + wabunge 0

Mtahamisha sana Magoli lakini tutawapiga tu hakuna jinsi
 
Tamisemi wameongeza Wilaya mpya ya Ubungo na Kigamboni.Hivyo kulazimu uchaguzi wa mameya wa Kinondoni na Ubungo kurudiwa.UKAWA tuko makini kupambana na hujuma na fitna zozote na CCM.Madiwani ni kama ifuatavyo,Kinondoni:
CDM Madiwani 10 na wabunge 2,
CCM madiwani 10 + wabunge 0,
Wilaya mpya ya Ubungo:
CDM Madiwani 11 + wabunge 2
CCM madiwani 2 + wabunge 0
Mtahamisha sana Magoli lakini tutawapiga tu hakuna jinsi
Mkuu shukrani sana kwa ufafanuzi ulioshiba,hao ma ccm hata wafanyeje kipigo kipo palepale
 
Tamisemi wameongeza Wilaya mpya ya Ubungo na Kigamboni.Hivyo kulazimu uchaguzi wa mameya wa Kinondoni na Ubungo kurudiwa.UKAWA tuko makini kupambana na hujuma na fitna zozote na CCM.Madiwani ni kama ifuatavyo,Kinondoni:
CDM Madiwani 10 na wabunge 2,
CCM madiwani 10 + wabunge 0,
Wilaya mpya ya Ubungo:
CDM Madiwani 11 + wabunge 2
CCM madiwani 2 + wabunge 0
Mtahamisha sana Magoli lakini tutawapiga tu hakuna jinsi

Mimi sijaelewa; hivi ndio kusema kila wilaya itakuwa na meya wake? Jamani hii sio kuongeza mzigo wa kiutawala? Wakuu wa wilaya, wakurugenzi, mameya, n.k. na wote hao ni maV8 yet vieneo vyenyewe ni mwendo wa kutembea tu! Muhimu wangeongeza tu maeneo ya uwakilishi (ubunge/udewani) lakini sio maeneo ya kiutawala kwa eneo dogo kama hizo wilaya mpya zinazopendekezwa.
 
CCM watawaingiza wale wabunge wa kuteuliwa na Rais baada ya kuapishwa bungeni.
 
Mwaka huu imekula ccm mazima, yaani wakishika hapa wanapata kipigo wakishika pale kipigo zaidi daaaah
 
Naona mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.

Kweli manyumbu utayajuwa tu.
 
Hivi hawa ccm wao wanajiona kwamba ni wao tu wanaofaa kuongoza?inatia kinyaaa sana majitu mazima lkn yanafanya mambo ambayo hata mtoto asiyejua kuchamba hawezi kufanya....
 
wakuu hamjahesabu wabunge wateule walioapishwa na tayari bungeni, eg... Mpango, Ndalichako, Maiga, Abdallah possi , nk.
 
Tamisemi wameongeza Wilaya mpya ya Ubungo na Kigamboni.Hivyo kulazimu uchaguzi wa mameya wa Kinondoni na Ubungo kurudiwa.UKAWA tuko makini kupambana na hujuma na fitna zozote na CCM.Madiwani ni kama ifuatavyo,Kinondoni:
CDM Madiwani 10 na wabunge 2,
CCM madiwani 10 + wabunge 0,
Wilaya mpya ya Ubungo:
CDM Madiwani 11 + wabunge 2
CCM madiwani 2 + wabunge 0
Mtahamisha sana Magoli lakini tutawapiga tu hakuna jinsi
Kinondoni kwa heri ya kuonana!Watateuliwa watatu tu hapo wakiwamo na wa viti maalum kwisha habari
 
Back
Top Bottom