ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,967
- 91,172
Pole sana mkuu, hizi experience zinafanya tuwe wazito kidogo kuingia shambani, or else iwe mazingira yenye umwagiliaji.Mvua
Pole sana mkuu, hizi experience zinafanya tuwe wazito kidogo kuingia shambani, or else iwe mazingira yenye umwagiliaji.Mvua
Yes, kuna sehemu naenda kuicheki moro ili kuwekeza kwenye irrigationPole sana mkuu, hizi experience zinafanya tuwe wazito kidogo kuingia shambani, or else iwe mazingira yenye umwagiliaji.
Kuna haja ya kuingia huko na mimi, bado nasita lakini that's the way forward kwa kweli.Yes, kuna sehemu naenda kuicheki moro ili kuwekeza kwenye irrigation
Nikweli mkuuPole sana,hawaweki wazi changamoto ya hali ya hewa.
mkuu kg 12 za mbegu ni sawa na miche 24,000 kwny eka moja inawezekana japo wengi tupo kwny miche 17,000 kwa spacing ya 30x90cmHuu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi
1. Kukodi shamba ekari 1 - 70,000/-
2. Kulima shamba mara 2 - 60,000/-
3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12 - 72,000/-
4. Kupanda mahindi - 30,000/-
5. Mbolea 2 - 140,000/-
6. Palizi 2 - 60,000/-
7. Kuweka mbolea - 30,000/-
8. Kuvuna/kupukuchua/mifuko - 100,0000/-
Jumla ya gharama huwa ni 550,000/- ~ 600,000/-
Mavuno
Mara nyingi mavuno hutegemea ubora wa ardhi na matunzo ya mazuri ya mazao, lakini mara nyingi ekari moja ya mahindi hutoa gunia 15 ~ 25, sasa ukipata kiwango cha chini gunia 15 ukauza kwa bei ya sasa 80,000/- unapata Tsh 1,200,000/- faida ya Tsh 600,000 kwa ekari.
Duh! Ulilimia wapi? Huo si uchawi kabisa🤣🤣🤣Mwaka huu heka 3 nimepata gunia 8 tu boss.
Kibaigwa DodomaDuh! Ulilimia wapi? Huo si uchawi kabisa🤣🤣🤣
Kuna mikoa mvua hazijawahi goma mwaka 15 nilishuhudia mvua kugoma mwaka 1 napo ni uzembe wa wakulima maana walipanda mahindi ardhi ikiwa kavu na hawapigi sumu ya funza.Pole sana,hawaweki wazi changamoto ya hali ya hewa.
Umewahi kulima mahindi?Kuna mikoa mvua hazijawahi goma mwaka 15 nilishuhudia mvua kuhoma mwaka 1 napo ni uzembe wa wakulima maaba wslipanda mahindi ardhi ikiwa kavu na hawapigi sumu ya funza.
Tembea mkuu, hii nchi ni kubwa kana upo shinyanga sawa kukutana na ukame.
Saa huxi muda huu hapa nilipo watu wanapanda mahindi na yatsota yatakutaba na mvus mwezi wa 10.
Sio kila mkulima wa Tanzania anakutana na changamoto ya hali ya hewa labda bei.
Ina uhusiamo gani na maoni yangu. Jaribu kusoma kwa kuelewa.Umewahi kulima mahindi?
Huwa unatumia mbolea aina gani chief?Kwa huku niliko, nimekodi ekari 3 Tsh 80,000/
Palizi ya kwanza kila ekari Tsh 21000 mara 3 63000
Ya pili napiga dawa ya magugu 25 kila ekari pamoja na mpigaji.
25000×3= 75000
Mbegu 30 Kg kila kg 10 ni 70000 jumla 210,000/
Kuvuna kila ekari ni 15000 mara 3 45000
Kupiga kila gunia 1000,
Watani gunia 60, so 60,000.
Mbolea mifuko 9 *70000
80000+65000+75000+210000+45000+630000
Total 115000, naongeza laki dharura. So 1,205,000.
Minimum bei ni 50k mara 60 ni 3M.
DAP NA UREA MKUUHuwa unatumia mbolea aina gani chief?
Kwa huku niliko, nimekodi ekari 3 Tsh 80,000/
Palizi ya kwanza kila ekari Tsh 21000 mara 3 63000
Ya pili napiga dawa ya magugu 25 kila ekari pamoja na mpigaji.
25000×3= 75000
Mbegu 30 Kg kila kg 10 ni 70000 jumla 210,000/
Kuvuna kila ekari ni 15000 mara 3 45000
Kupiga kila gunia 1000,
Watani gunia 60, so 60,000.
Mbolea mifuko 9 *70000
80000+65000+75000+210000+45000+630000
Total 115000, naongeza laki dharura. So 1,205,000.
Minimum bei ni 50k mara 60 ni 3M.
Hizo mbolea unachanganya pamoja au kila aina unatia kwa wakati wakeDAP NA UREA MKUU
Mkuu, Waziri Bashe si kasema kuandaa shamba tu ni milioni 16 kwa hekta?Huu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi
1. Kukodi shamba ekari 1 - 70,000/-
2. Kulima shamba mara 2 - 60,000/-
3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12 - 72,000/-
4. Kupanda mahindi - 30,000/-
5. Mbolea 2 - 140,000/-
6. Palizi 2 - 60,000/-
7. Kuweka mbolea - 30,000/-
8. Kuvuna/kupukuchua/mifuko - 100,0000/-
Jumla ya gharama huwa ni 550,000/- ~ 600,000/-
Mavuno
Mara nyingi mavuno hutegemea ubora wa ardhi na matunzo ya mazuri ya mazao, lakini mara nyingi ekari moja ya mahindi hutoa gunia 15 ~ 25, sasa ukipata kiwango cha chini gunia 15 ukauza kwa bei ya sasa 80,000/- unapata Tsh 1,200,000/- faida ya Tsh 600,000 kwa ekari.
Mkuu hebu saidia kujua mikoa ambayo haina changamoto za mvuaIna uhusiamo gani na maoni yangu. Jaribu kusoma kwa kuelewa.
Nimeandika kuna mikoa haina changamoto ya mvua wewe unaniuliza swali gani sasa hilo. Ungeniuliza mikoa hiyo ni ipi? sio ulicho uliza hakina mantiki ktk hoja yangu.
Mikoa isiopata njaa na misaada ya chakula hio ndio ina mvua nyingi na mavuno mengi.Mkuu hebu saidia kujua mikoa ambayo haina changamoto za mvua
Kwa haraka haraka naweza sema mikoa kama Ruvuma, Njombe, Iringa, Mbeya, Rukwa, Katavi, Songwe, Kagera, Kilimanjaro, Arusha, Tanga mvua huwa haisumbui sanaMkuu hebu saidia kujua mikoa ambayo haina changamoto za mvua
Rukwa bossLocation tafadhali