Mchana wa leo nime-enjoy sanaaaa...

Mchana wa leo nime-enjoy sanaaaa...

Kumbe kuna people wanakula panya!!??
Doh..!!
 
Ah hebu usiniambie nimeshiba hapa soup ya pweza nsije kutapika bureee...lol

Hahahahaaa!
Kuna siku ilikua tunahamisha matufali maeneo ya K/smk Zenji! Ilitoka mipanya kibaoooo! Mwee! Kupinda mbwa kona iyo! Palikua na Wanyamwezi! Mama mama hauwezi amini, waliwasomba wote!
 
Hahahahaaa!
Kuna siku ilikua tunahamisha matufali maeneo ya K/smk Zenji! Ilitoka mipanya kibaoooo! Mwee! Kupinda mbwa kona iyo! Palikua na Wanyamwezi! Mama mama hauwezi amini, waliwasomba wote!

Hahahahahhah kumbe wanyamwezi ndio wanaokula panya...
 
Baba kaleta panya, baba kaleta panya x 2
We usiseme panya, sema chamaki nchanga.
Mwenye nyumba hii ni Mmakonde, akikusikia atakufukuza.
 
Me sio mmakonde,ni mmasai wa usa river arusha,ila niliendaga Mtwara na kukutana na hiyo kitu nikaonja kidogo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Ulikuwa IFM Mkuu? Ila sio mbaya unajazia mashimo kidogo hapo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Wamakonde wanafaidi,kwa anayebisha afanye ziara Mtwara napokuwa hawa wa siku hizi wameelimika kidogo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom