Wadau wameuliza maswali kibao mbona kimya...au hukutarajia maswali hayo..usiniambie unagoogle majibu...teh
Unayeuliza mimi mtamu wewe adamu au eva?? Kama ni eva u are safe,kama ni adam two things are involved...malizia basi
ndio nnani huyu...? wawapi?
yaonyesha hivyo....Nadhani ndo amefunga shule sasa ana enjoy likizo.
heee! hujui huyu ni...me!Umeshaolewa??
Kama bado kwa nini?