Mchaichai, jina la kisayansi

hivi nikweli kwamba unatibu presha?maana kama unaumwa kila dawa unayoambiwa unatumia.nijuzeni.
 
Nimekuja kupitia hapa nikiingia kwa undani zaidi kuona kama mchai chai unaweza kutengeneza wine au mvinyo.

Naomba kama kuna mwenye kufahamu hili anijuze.
 
Wasalaam...naomba kama kuna mtu anafahamu jina halisi la mmea(kisayansi) mchaichai...kwa wale ambao wamewahi kunya chai ya mchaichai nadhani mtakuwa mmenielewa na maana gani (Si maana nataka jina la majani ya chai yanatumika kutengeneza chai ya rangi, hapana bali jina la MCHAICHAI...majani fulani membamba na marefu hutumika kutengeneza chai pia.

mi sijawahi kunya chai
 
Ahsante sana X-Paster. Niliutafuta sana mchaichai mara ya mwisho nilipokuwa bongo bila mafanikio yoyote. Naona kuna uwezekano ukapotea maana wengi sasa hivi hawaujui mchaichai. Hao bibi zetu Mungu aziweke roho zao mahali pema peponi~AMEN.

Mkuu bado unauhitaji?
 
Mchaichai ni ant oxidants pia,inatoa sumu mwilini,kama pia huelewi sufuria unatumia mchaichai kuua sumu
 
Back
Top Bottom