Wooow!Mtu asiye na makuu ni mtu "down to earth", yaani mtu wa kawaida asiye jikweza!!
fomula moja ya marais wa kiafrika ni kuwa wanachosema wewe chukua kinyume chake.Wooow!
Thanx alot Bulesi for the answer which ithink its mostly the correct one.
Lakini unadhani wale wote wanaotajwa kuwa hawana makuu ni kweli ni wa hivyo?
Mfano ni Marais wote waliowahi kuitawala Tanzania wamekuwa wanapewa sifa hii ya kutokuwa na makuu...je ni sahihi?
fomula moja ya marais wa kiafrika ni kuwa wanachosema wewe chukua kinyume chake.
tutaleta maisha bora = mtakufa kwa umaskini
tutaondoa rushwa = tutadumisha rushwa
hatuna makuu = tutakwenda kubembea jamaika
katiba lazima ifuatwe = wanafuata ushauri wa waifu zao.
nchi maskini = nchi tajiri
ninaweza nikaendelea on spesheli rikwesti.
Na wakisema JK au Karume alishinda kwa kishindo, nayo inakuwa opposite?fomula moja ya marais wa kiafrika ni kuwa wanachosema wewe chukua kinyume chake.
tutaleta maisha bora = mtakufa kwa umaskini
tutaondoa rushwa = tutadumisha rushwa
hatuna makuu = tutakwenda kubembea jamaika
katiba lazima ifuatwe = wanafuata ushauri wa waifu zao.
nchi maskini = nchi tajiri
ninaweza nikaendelea on spesheli rikwesti.
Naomba wana jamvi mnisaidie hili neno "HANA MAKUU" linamaanisha hasa mambo gani.
Neno hili Limekuwa linatumika kumsifia mtu, iwe katika siasa, dini, na kijamii nk, lakini binafsi sijui hayo MAKUU yanayomaanishwa ni yepi.
Aksanteni.