Mchagua jembe si mkulima.

Mwanamke ni chombo cha starehe
Aliyesema hakuegemea kwenye dhana ya umalaya, na alikuwa sahihi sana

Mwanamke ni wa kupokea Matunzo na hela huku yeye akitoa raha na upendo. Sasa wanaume wanacomplicate sana maisha. Tia hela uone mapenzi ya kweli
 
Tunafanana ubinadamu, ila tunatofautiana kwa namna moja au nyingine. Classes are there, like it or not!!
Sasa ukienda namna hiyo unakuwa hupendwi mtu bali unapenda tabia, which only leads to dissapointment
 
Upo sahihi sana mkuu vijana wanapendana kidgo tu then wanaoana.

Mkuu mimi wakati nipo chuo kuna mchumba nlimwelewa baads ya kumaliza tulikaa mwaka kwenye mahusiano nkaoa.

Mkuu hivi nnavo kwambia tulikaa kwenye ndoa 1 year asee msoto nlio pitia sijawahi ona nlimwacha period!!

Vijana hao wanawake mjitahidi sana kuwajua kwakina mahusiano ya kawaida tu yasikufanye ufikie point ya kuona huyo anafaa kuliko wote, mjifunze kwa kina tabia za huyo mnae pendana nae.
 
They just tryna focusing on CHEAP DOPAMINE, which turn into bitter pills to swallow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…