Mkuu maisha haya endo bila pesa, sembuse mwanamke ambae ndo anakupa ile kitu roho inapenda?Basi hata hiyo spot inakuwa haina ulazima wa mwanaume kuifanya pia kama wao ni lazima waweke vigezo vya kupewa pesa.
Kiufupi tu tusipangiane maisha mkuu
Sikupingi, ila kwa mwanaume mwenye pesa hazuiliwi kuweka vigezo vingi anavyovitaka maana yeye ndo kashikilia mpiniMkuu maisha haya endo bila pesa, sembuse mwanamke ambae ndo anakupa ile kitu roho inapenda?
Mkuu maisha yana revolve around money, ukiwa huna hela wewe ni Takataka tu.
That's it, hakuna demu mkali atakuelewa, huta pata heshima, utaonekana debe tupu
Unakuta nyekunduuu halafu nene nene hivi imeumuka ya motooo utafikiri kishimo cha volkeno. Mtu unapiga matako mawili tu mara paap wazungu hawa hapa. Sitakaa nimsahau Agnes 🔥🔥🔥😘😘😘Sitaki pressureView attachment 3661079
Nimekuuliza hayo maadili siku hizi unayapata kwa nani?Mtu kuanguka doesn't corelate to being a fool, btw hio ilikua nyongeza tu main point ni chukua muda wako kuchunguza mtu cheki familia yake makuzi yake magonjwa ya kurithi, ushirikina etc. The divorce rate is higher coz people didn't take their time on choosing their partners.
Sasa kama Binti kiziwi, ShesRise_1, Binti wa zamani wamemkazia unadhani atafanyaje ? Bora abaki kutushauri tu wengine 😅Wewe umeoa?
Hao unaowajua! Kuna ambao huwajui hana bahati ya kupendwaSasa kama Binti kiziwi, ShesRise_1, Binti wa zamani wamemkazia unadhani atafanyaje ? Bora abaki kutushauri tu wengine 😅
Wewe Nimesha kwambia hizo nongwa zako za kutafuta attention kwa wanawake ambao unajua fika huwajui hawakujui ni ujuha tuSasa kama Binti kiziwi, ShesRise_1, Binti wa zamani wamemkazia unadhani atafanyaje ? Bora abaki kutushauri tu wengine 😅
Kwani ikiwa ya moto ndo tamu kunoga?Unakuta nyekunduuu halafu nene nene hivi imeumuka ya motooo utafikiri shimo la volkeno. Mtu unapiga matako mawili tu wazungu hawa hapa. Sitakaa nimsahau Agnes 🔥🔥🔥😘😘😘
Umeniuliza wapi? Fresh tu ni maisha yako wee jibebee zaga juu kwa juu ukipata watoto na mtu asie sahihi utakumbuka maneno yangu.Nimekuuliza hayo maadili siku hizi unayapata kwa nani?
Mkuu if you wait till uambiwe huyu ndiye sahihi pasipo wewe kukaa naye na kujiona mwenyewe utaishia kuwa single, maana nothing will feel pleasant to you
ushawah kula black beuty?Safi kabisa!
My friend linapo kuja swala la kuoa.. Kupata mtu sahihi ni majaaliwa, unaweza kudhani ni sahihi na akaja kukupiga tukio, lakini unaweza kudhani sie na wewe kumuona ndo ikawa mwanzo wake mpyaUmeniuliza wapi? Fresh tu ni maisha yako wee jibebee zaga juu kwa juu ukipata watoto na mtu asie sahihi utakumbuka maneno yangu.
agnes mathiasUnakuta nyekunduuu halafu nene nene hivi imeumuka ya motooo utafikiri kishimo cha volkeno. Mtu unapiga matako mawili tu mara paap wazungu hawa hapa. Sitakaa nimsahau Agnes 🔥🔥🔥😘😘😘
Umeoa au uko mbioni kutoa?Wanaume tuache kuweka vigezo vingi kwa wanawake..
Mchagua jembe si mkulima.
Tafuta mwenye unafuu anza nae, maisha.
Ukikaa kudhani kuna perfect match, utasubiri mpaka utakufa ukimtafuta.
Ndo maana mabachela wengi ni wale wenye elimu za darasani. Maana wana over analyse.
Life is short.
We unaongea theory me nakueleza practical, ok tufanye uko sahihi basi.. life will humble you man mark my words.My friend linapo kuja swala la kuoa.. Kupata mtu sahihi ni majaaliwa, unaweza kudhani ni sahihi na akaja kukupiga tukio, lakini unaweza kudhani sie na wewe kumuona ndo ikawa mwanzo wake mpya
Mkuu mbona hii mali swafi kabisaSitaki pressureView attachment 3661079
Mkuu usichague sura check for her smartnessWanaume tuache kuweka vigezo vingi kwa wanawake..
Mchagua jembe si mkulima.
Tafuta mwenye unafuu anza nae, maisha.
Ukikaa kudhani kuna perfect match, utasubiri mpaka utakufa ukimtafuta.
Ndo maana mabachela wengi ni wale wenye elimu za darasani. Maana wana over analyse.
Life is short.
Mungu akuongoze umpate pia wa kuendana nayeMwakani inshallah sasa naweka mambo sawa