Mchaga na pesa.............

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Mchaga alidumbukia kwenye shimo la maji mkewe alipopata taarifa alikimbia kununua kamba amuokoe mumewe mara baada ya kufika na kumtupia ile kamba mpya yule jamaa akamwambia mkewe hii kamba mpya umenunua shilingi ngapi? mkewe akajibu elfu moja jamaa akamwambia mkewe yesu na maria rudisha hiyo kamba nenda kwa masawe anauza mia tano fanya haraka nitazama.
 
[font=&amp]mchaga alidumbukia kwenye shimo la maji mkewe alipopata taarifa alikimbia kununua kamba amuokoe mumewe mara baada ya kufika na kumtupia ile kamba mpya yule jamaa akamwambia mkewe hii kamba mpya umenunua shilingi ngapi? Mkewe akajibu elfu moja jamaa akamwambia mkewe yesu na maria rudisha hiyo kamba nenda kwa masawe anauza mia tano fanya haraka nitazama.[/font]

yesuuu, aisee mama yangu, unaleta mchezo na shilingi ya kikwete aiseeee!!!!!!!!!!!!! Hahahahahaaaaaaaaaa
 
mchaga mchaga mchagamchagamchaga nimechoka na habari hizo hivi usipoanza heading na chaga watu hawasomi?
 
Back
Top Bottom