bioto
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,261
- 2,095
Mchaga, Msukuma na Mchina walikuwa wamekaa hotelini wanakula chakula.
Ghafla nzi akatokea dirishani akaenda kwa mchaga, mchaga akamfukuza.
Nzi yule baada ya kufukuzwa akaenda kwa msukuma, msukuma naye akamfukuza. Nzi akaenda kwa mchina, mchina akamdaka kwa mkono akamtafuna.
Baada ya muda nzi mwingine akaja tena, msukuma akamfukuza kama kawaida.
Nzi akaenda kwa mchaga, mchaga akamdaka kwa mkono akamgeukia mchina akamwuliza "aisee vipi huyu mkubwa mkubwa utamnunua kwa shilingi ngapi"