mchaga mmoja hiviiiiiiiiii

mchaga mmoja hiviiiiiiiiii

ERICK JUSTINE

Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Mchaga mmoja hivi alitumbukia kisimani. basi alimwita mkewe kwa msaada,basi mwanamke akatoa wazo la kununua kamba aweze mtoa ndani ya kisima.basi akafuata kamba dukani ambako kamba alinunua elfu moja(1000).kurudi nyumbani kumtoa mmewe kisimani basi mume akauliza kamba umenunua shillngi ngap,i mke akijibu elfu moja, yule bwana akasema rudisha na kanunue kwa Mushi anauza mia tano.
 
duuh! Mchaga na pesa aisee ninoma
Anaweza akakodisha hata wife wake ili apate chapaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom