Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
:eek2::eek2::eek2:
Vitu vingine vidunchu havihitaji hata kulalamika unapiga tu bao la tiktaka, mwanaume mwingine eti anaombwa vihela vya supermarket anakimbia aagrrr kukimbia ni kuharibu cv we nenda kabla ya kwenda supermarket unabandua kwanza ndo mnaenda
Ngekua mwanaume mie...... :spy: