Mchaga huyu mmmmh

Mchaga huyu mmmmh

Huyo ndio mwanamke Mkuu! Mwanamke kama huyo atakufikisha mbali maana anajua kuzitafuta pesa. Ni bora kuwa na mtafutaji kuliko mfujaji asieujua pesa zinapatikana vipi.
 
Wadau hivi vitu tusibishe sana kuna kuna ukweli fulani,mimi ninae mapenzi anayachukulia kama dhambi hivi au kity fulani kichafu,sasa hivi nawaza jinsi ya kuchepuka tu maana njia kuu foleni.QUOTE=ACAPULCO;14734670]Habari ndugu zangu wanajamii forum
Leo jamani ngoja mnisadie kuhusu hili.Nina mpenzi wa kichaga niliyempata hapa moshi mwaka jana tatizo kubwa hayuko romantic kabisa muda wote anazungumzia biashara tu yaani mpaka anakera,sometimes hata usiku mkiwa mmelala ukimwambia baby geuka nikupige busu ananiambia mpaka nimtafutie fremu mpya aanzishe biashara ndio atakubali nimbusu yaani stori zake asimia kama 70 ni biashara tu hata mkiwa na mtoko siku hiyo lazima abebe notebook eti huenda fursa za kibiashaa zinaweza kutokea namwambia baby kila jambo na wakati wake yeye hataki hiyo kitu yaani utamsikia usiku mpaka anaweweseka mara aisee mallya nipapangishie hiyo fremu yako nataka niweke hardware,wakati mwingine mpo mnakula mara baby tule haraka nataka unisindikize mjini tukaangalie duka la kina Lyimo la hardware kama kuna aina za hardware ambazo hata sisi tunaweza kuzinunua kidogo kidogo yaani hayuko romantic hata ukiwa umemkumbatia ukimuangalia anawaza mbali ukimuuliza unawaza nn baby anasema aanawaza biashara zake,kuwaza biashara sio tatizo,ila tatizo anawaza muda wote utadhani naishi na duka,hivi dada zangu wachaga mna mdudu gani jamani???![/QUOTE]
 
Hiv mchaga anaolewa na,asiemchaga? Hao ni shiida wanawza pesa tu kika,wakt kama huamin muoe mfanikiwe kma,ndugu atakanyaga hapo ndani .hao wanaoana,wenyew tu ni vilema,wa pesa,hao utu hakuna hapo
 
Binafsi, nimesoma story yote sijabaini jinsia ya mleta mada au jinsia ya anayezungumziwa. Sina hakika kama mwandishi alikusudia au fasihi ni sefuri!?
 
Ni ukweli lakini kaongezea chumvi.
Eti hata wakitoka anatoka na notebook, mara wakiwa kwenye mapenzi huwa bado anawaza business 😀😀😀😀

Peleka huko hakuna ukweli wowote hapo kazi kuchafua watu wengine tuu
 
daah bro una bahati yaan daily nadream a girl like that aisee!!! ila ntampata tu aisee kumbe wapo!!
 
Piga mimba kwanza huyo aanze na majukumu ya kulea kwanza akianza na biashara tu ujue hatokuwa na time na ww tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom