Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,285
- 51,896
Peleka huko hakuna ukweli wowote hapo kazi kuchafua watu wengine tuu
Hiyo ni sifa na sio kuchafua.
Peleka huko hakuna ukweli wowote hapo kazi kuchafua watu wengine tuu
Wewe Fara kweli.....
Ngoja upate huyu wa;
1. "Baby mama yangu anadaiwa 10milion ya kikoba nisaidie basi""
2." Baby nimepoteza ile simu uliyoniletea Jana, fanya mpango basi nimemiss WhatsApp ""
3. "" Baby unajua kwenye kitchen part ya Suzi tutavaa less wig za 800,000"
4. "" baby, nimechukua mkoba kwa mkopo wa 350,000 so utalipia next week""
Mkuu hapa vipi?
mkuu tena kuwa makini huyo mkipata hela anakuua huyo
kwa hivi hakika simwachi mupenzi wangu manka tarimo