senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 May 12, 2011 #1 Mchaga mmoja alidondoka kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa mkewe akaja na kamba mpya akamrushia; mume akauliza umenunua sh.ngapi? Mke akamjibu, buku; akamwambia, irudishe nenda kwa Massawe anauza jero fanya fasta ntazama.
Mchaga mmoja alidondoka kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa mkewe akaja na kamba mpya akamrushia; mume akauliza umenunua sh.ngapi? Mke akamjibu, buku; akamwambia, irudishe nenda kwa Massawe anauza jero fanya fasta ntazama.
WA MAMNDENII JF-Expert Member Joined Jun 5, 2010 Posts 344 Reaction score 58 May 12, 2011 #2 aaaahhhhhhhhhhhhh acha hizo weweeeeeeeeeeeeee,
Ernie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2010 Posts 217 Reaction score 29 May 12, 2011 #3 Mbona hii ni ya siku nyingi chalii?
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,324 Reaction score 2,900 May 12, 2011 #4 Hii inaitwa chacha mkuu. Ya zamani. Hata hivyo nzuri.
Kirode JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 3,566 Reaction score 84 May 12, 2011 #5 we mchaga nini kwani hata kama ni ya siku nyingi wengine tulikuwa hatuijui Ernie said: Mbona hii ni ya siku nyingi chalii? Click to expand...
we mchaga nini kwani hata kama ni ya siku nyingi wengine tulikuwa hatuijui Ernie said: Mbona hii ni ya siku nyingi chalii? Click to expand...
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 May 12, 2011 #6 Hii mbona ipo siku nyingi tu
Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,563 Reaction score 2,613 May 12, 2011 #7 imetulia,wachagga mmhh...
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 May 12, 2011 #8 gud but outdated
Mchaga JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,377 Reaction score 209 May 12, 2011 #9 kiboko hii
Pharaoh JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 843 Reaction score 157 May 12, 2011 #10 Sio kweli lakini, ni smart businessmen but cool people also.
MESTOD JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 4,798 Reaction score 2,008 May 12, 2011 #11 Ernie said: Mbona hii ni ya siku nyingi chalii? Click to expand... Wachaga utawaona tuu!!!!!!!!!!!!
Big One JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 759 Reaction score 47 May 12, 2011 #12 c watu wa pesa
pascaldaudi JF-Expert Member Joined Mar 25, 2009 Posts 534 Reaction score 97 May 14, 2011 #13 hahahah!!
R Rushdie jr Member Joined May 14, 2011 Posts 41 Reaction score 3 May 14, 2011 #14 Aaah asee hio hatar Kumbe chagaz ni noumaaa
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,142 Reaction score 7,402 May 18, 2011 #15 mbona chagga pipo wanapanic?