mchaga amfurahisha malaika mbinguni

mchaga amfurahisha malaika mbinguni

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
[h=5]MCHAGA NA MBINGUNI WAPI NA WAPI?
Mchaga alipokufa aliulizwa na
MALAIKA: "kushoto kwako ni peponi, kulia ni Jehanam. ungependa uende wapi?"
MCHAGA: Nitabaki katikati ya pepo na Jehanam
MALAIKA: Kwanini?!
MCHAGA: nikifungua duka hapo wote wa mbinguni na jehanam watafika kununua bidhaa. Chezea mchaga MALAIKA:KWIKWIKWIWKI!!!!!!!,KOH! KOH !!KOH (Hapo alicheka mpaka akapaliwa)[/h]
CHANZO WWW.NASMILETZ.COM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom