Mch. Mwesiga afyatuka... "Matatizo hayawezi kutatuliwa na watu wenye fikra zilizoyasababisha!"

msigwa nimekukubali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa upo juu mchemba kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Vichwa kwa Pumba kama hiyo? Kama ni hivyo bora tu kusiwe na Upinzani hapa Tanzania.
The unseen is illustrated by the seen.

haya basi kichwa ni lusinde'mitusi' komba'mbakaji'mwigulu'mzizi' jk'dhaifu' wassira 'kusinzia' na yule mbunge wa dole kule uamsho
 
We mpuuzi wacha kututukana watu wa Iringa. sisi sio maskini, labda maskini nyie ambaye mnalialia kila siku ati mvunje muungano ili mpate msaada toka kwa waarabu.

Huyo Nchemba hana uchumi lolote. Aeleze kwanza historia yake ya elimu. Aeleze kwa ufasaha majina yake na aliyapataje. Ni kibaka huyu.
 
Amemwambia Nchemba? Wewe una lako jambo, Nchemba amewaumiza jana ndio maana unahaha, nchemba hajawahi kufumaniwa
Una tatizo la kusahau basi mkuu,kumbuka igunga,afu mtoa mada hajasema 'amemwambia Nchemba' Nchemba sio level ya Msigwa hata kidogo. Dhaifuuu!!!
 
Hawa bila kushituliwa hivi hawa watalala sana. Hivi wassira bado anausingizi tu? Wameshikwa kunako, unaenda kunadi mgombea unanadi na mwili wako, tena kwa mke wa mtu. Aibu first class economist wa kudesa.
 
Msigwa kasema kweli ccm haiwezi tena kuleta mabadiliko ya kweli imeshindwa inatosha sasa tuseme basi
 
Hivi ccm wamelogwa na nanihawa wabunge,. Msigwa wambie argument za profesa waccm hazina tofauti na za mtoto wa darasa lapili, Alimanisha za lusinde darasa la3 na mwigulu mchumi wa kudesa
 
Anyway hayo ni maoni yake. Mi nafikiri Mwigulu anataka publicity ili apewe Uwaziri na JK. Tuone mwisho wake. Hizi ni magumashi za siasa za bongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom