Mch. Mwesiga afyatuka... "Matatizo hayawezi kutatuliwa na watu wenye fikra zilizoyasababisha!"

Masikini wananchi wa jimbo la iringa, matatizo yao hayawakilishwi tena.

Kuwepo na kiwango cha elimu, la si hivyo huu ni msiba jamani. Yupo nje ya mada 100%

Wewe ndiyo uko nje ya mada umeacha kazi ya kuchoma makanisa huko zenji ambayo inakulipa unarukia mambo ya huku Tanganyika. Nenda ukafue kipedo chako.
 
Huyooo nchemb ni mchumi wa wapiiiiiiiiiiiiii??????.ndio hao wanaomshauri rais kuua wanyama,na kuuza nje ya nchi wanyamaaaaaaa.shame on you angalia na fanya kazi kutokana na nini umesoma sio chama kinakupeperusha kama karatasi.nchi inatakiwa tiba wazee wazima vichwani pumba tupu.itabidi tuangalia iq za hao wanaosema ni wachumi.wewe ni depletion economist,sio constructive economist.tunaitaji sustainable green economist.siku zenu za kuua uchumi wa nchi zimebaki kidogo.
 
Rejea kwenye kumbukumbu zako igunga uchaguzi mdogo nchemba alifanya nini kituko cha aibu kwa taarifa yako alitembea na mke wa mtu halafu FYI mbunge mwingine wa ccm wa jimbo la geita alimlazimisha mhudumu wa bunge kufanya nae mapenzi i mean alikuwa anambaka kesi hiyo ikafikishwa kwa katibu wa bunge ikamalizwa kimya kimya angekuwa ni wa chadema lol mpaka leo hii jina lingegeuka chama cha wazinzi ila ni ccm ata wao wasafi. kama sio unafiki ni nini??? na bado tunayafahamu mengi sana ngoja if
.
Unamzungumzia yule Mbunge kwa jina la Max aliyewatukana wananchi baada ya kumpa kura mwaka 2010?
The unseen is illustrated by the seen.
 
Wewe ndiyo uko nje ya mada umeacha kazi ya kuchoma makanisa huko zenji ambayo inakulipa unarukia mambo ya huku Tanganyika. Nenda ukafue kipedo chako.

Mkuu wangu, DOUGLAS SALLU, niombe radhi kwa kutumia lugha ya maudhi dhidi yangu.

Kwa tabia zenu hizi ndio maana ndugai anawachomoa mjengoni.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom