Mch. Mwesiga afyatuka... "Matatizo hayawezi kutatuliwa na watu wenye fikra zilizoyasababisha!"

Hahahahahah....Naona mchungaji ameamua kujishusha kwa Level ya wana-CCM ili wamuelewe.

Bahati mbaya sana na kujishusha kote kule sidhani kama magamba wamemwelewa. "Theories" alizotoa Mchungaji leo ni balaa. Ameeleza vizuri sana, in a very layman language, na kwa mifano jinsi wenzetu huko Ulaya walipitia hatua zipi hadi kufika hapo walipo leo.

Amesema, tusitegemee watu wale wale waliosababisha hali hii ya mkwamo tuliyo nayo kama taifa tuwategemee walete mabadiliko tofauti. Never! Ni lazima kuwepo na mabadiliko ya kifikra na mgongano wa mawazo na hii ndio hasa kazi ya upinzani lakini kwa mshangao wake CCM inaelekea hawaelewi hili.

Anasema, kabla ya kuingia Bungeni ilikuwa akiwaona "waheshimiwa" wakivaa masuti yao alikuwa anawaona watu wa maana sana lakini baada ya kuingia humo ni mambo ya aibu hadi profesa anauweka uprofesa wake pembeni! Bungeni badala ya kujadili namna ya kulikwamua taifa imebaki kujipendekeza kwa vyama (CCM) na kwa wakubwa. Badala ya ku-discuss issues imekuwa umbea; eti mbunge anasimama anaanza kuongelea khanga na vitenge - so what!

Yaani huyu jamaa ni kichwa balaa! Hivi CDM huwa wanatoa wapia hawa watu?
 
haya basi kichwa ni lusinde'mitusi' komba'mbakaji'mwigulu'mzizi' jk'dhaifu' wassira 'kusinzia' na yule mbunge wa dole kule uamsho

Kwa mtazamo wako, na mawazo yako hayana budi kuheshimiwa.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Mchungaji msigwa akiaongea kwa jazba kidogo amelaumu kitendo cha Nchemba kuwaambia CDM wana pepo mtaka vyeo na wanahitaji maombi, akiendelea kufafanua anasema hata huko kwenye theology wanasema asiyefanya kazi na asile sio aombewe.

Amemshangaa Nchemba kwamba ni mchumi wa aina gani anayesema CDM waombewe kwenye issues zinazohusu uchumi, amesema wachungaji huombea wazinzi wanaofumaniwa na wake za watu

Hiyo clip youtube umeipa jina gani?Mana natumia simu naitafuta siipati na siwezi kufungua link uloweka hapo directly kwa simu yangu
 
Last edited by a moderator:
nawewe ina bidi uombewe kabisa lasivyo utachanganyikiwa

Kwani mimi siwezi kujiombea? au haujui kuwa mkiomba lolote kwa jina langu(Yesu) aminini mtapat?. Kama hujui basi wewe nahisi umefungwa na Shetani katika kweli ya Mungu.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Mchungaji msigwa akiaongea kwa jazba kidogo amelaumu kitendo cha Nchemba kuwaambia CDM wana pepo mtaka vyeo na wanahitaji maombi, akiendelea kufafanua anasema hata huko kwenye theology wanasema asiyefanya kazi na asile sio aombewe.

Amemshangaa Nchemba kwamba ni mchumi wa aina gani anayesema CDM waombewe kwenye issues zinazohusu uchumi, amesema wachungaji huombea wazinzi wanaofumaniwa na wake za watu

igunga????iramba?????
 
Last edited by a moderator:
ningekuwa mbunge wa ccm leo ningejiuzuru maana hayo maneno na Rev. Msigwa ni makubwa mno lakini kwa kuwa upeo wa ccm kufikiri ni mdogo wao wataona ni kawaida tu.
 
Mwigulu alidhani yeye ni mchumi peke yake,baada ya kujua aliyekuwa anamponda na yeye ni mchumi povu lilimtoka na kuanguka chini.
"mwingulu ata mimi ni mchumi nime fundishwa na walimu waliokufundisha,nilicho ongea ni sahihi kabisa"

msigwa : hawa wanao jiita wachumi na kufanya kazi BOT ndio walifikisha taifa lilipo kwa sasa.

"Hii serikali ya ccm ime pooza"

mnyika: jk ni dhaifu.

Tundulisu: this is silly budget.

Kafulila: je watu wakiokoka mapato yatatoka wapi?
 
Huyu Kamanda ni yuko "VERY SMART" hebu soma nukuu hii "Problems can not be solved by the same level of thinking of the people who created them"...........ha ha ha a.....;"Knowledge will govern forever....................."(Madson)
 
Mwigulu alidhani yeye ni mchumi peke yake,baada ya kujua aliyekuwa anamponda na yeye ni mchumi povu lilimtoka na kuanguka chini.
"mwingulu ata mimi ni mchumi nime fundishwa na walimu waliokufundisha,nilicho ongea ni sahihi kabisa"

msigwa : hawa wanao jiita wachumi na kufanya kazi BOT ndio walifikisha taifa lilipo kwa sasa.

"Hii serikali ya ccm ime pooza"

mnyika: jk ni dhaifu.

Tundulisu: this is silly budget.

Kafulila: je watu wakiokoka mapato yatatoka wapi?

mwenzangu mbona wanalo mwaka huuu
 
kama chadema ni timu basi ni barcelona....inazalisha vichwa balaa......another jembe hili aisee......yaani haya maneno hata shetani yamemwingia na ameahidi kujirudi......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom