nakumbuka huko nyuma mch. rwakatale wa mikocheni B assemblies of God aliwahi kutumia mtindo wa kununua vitambaa (leso) vyeupe na kuviombea kisha anawapa watu ati wakivitumia kama kuviwekwa kwenye viipaji vya nyuso zao au za wagonjwa wao nyumbani, wanapona maradhi yanayowasumbua. shuhuda nyingi sana zilitolewa na ilifikia mahali kama mtu yumo ndani ya basi akielekea kanisani na akagundua kuwa kasahau kitambaa nyumbani huteremka na kurudi kukifuata, yaani kikawa sacred kupita kitambaa cha kawaida.
binafsi sikuwahi kuunga mkono tabia ya huyu mama kuombea vitambaa na kuvifanya kama hirizi, na kwa kweli sikuona msingi wa jambo hilo kitheolojia.
sasa tena ameibuka Mch. Mwasapile akidai kupata ndoto juu ya mti ambao unapochemshwa, kikombe kimoja tu cha maji yake kinatosha kutibu magonjwa sugu kama ukimwi, kisukari, kansa, pumu nk. hapa pia sioni msingi wa kitheolojia.
kwa mujibu wa BBC, mch. mwasapile alisema si maji yale yanayoponyesha bali ni maombi. sasa mi najiuliza iweje neema ya Mungu ya uponyaji ijifungamanishe na maji kiasi kile? tena kiasi cha kwamba bila hayo maji neema hiyo haifanyi kazi? mbaya zaidi wanasema kuna masharti kama: lazima akupe kwa mkono wake, huruhusiwi kunywa zaidi ya mara moja nk. hapa neema ya Mungu inaletwa kwa masharti!
binafsi nashindwa kuiita karama, uwezo wa Mungu hauna mipaka ya mahali wala wakati. hainiingii akilini kwamba mti huo ukichemshwa mahali pengine nje ya kiiji cha samunge, hauponyi na babu akikuombea bila kukupa kikombe chake kwa mkono wake huponi!
siwezi kutoa hukumu juu ya babu lakini naamini Mungu ni mkuu na muweza kuliko anavyoonekana kupitia hali ya huko loliondo. biblia inatuasa, tusimzimishe Roho, tusitweze unabii, tujaribu mambo yote tushike lililojema na tujitenge na ubaya wa kila namna (1 thesalonike 5:19-22)
naomba mnielewe kuwa sikejeli ndugu zetu wanaogua magonjwa mbalimbali sugu wanaopata faraja ya pekee huko samunge kwa babu, la hasha. haya ni mawazo yangu tu yaliyojikita kutazama jambo zima kitheolojia zaidi na sijatumwa na mtu yoyote. pia tusiwabeze wale wanaoonyesha kuhoji mantiki ya kanisa la KKKT kujipambanua pamoja na huduma hii ya babu.
HUKUMU NI ZAKE BWANA
mbarikiwe sana wapendwa
Glory to God
Samahani sana mkuu yaani "babu" unataka kumfananisha na Yesu????????? Khaaaaa yaani wewe jamaa wa ajabu sana unamfananisha Messi na Ngasa?! Yesu ni world ICON huwezi kumfananisha na mtu wa kawaida mkuu..............
umemsoma Miss Judith ukamwelewa? yeye hajaomba ashauriwe kama aende kwa babu au lah, ila anawatahadharisha watu wanaoenda huko kuzingatia mambo kadha wa kadha.Kitu kimoja nimegundua, Miss Judith tayari ana majibu kichwani mwake. Hivyo wote mnaomshauri mnajisumbua bure, tazameni ni post za aina gani alizoweka Thanks. Wa Ndima amemweleza vyema kabisa mbona hakupiga Thanks
Kama wanapona kweli basi tumpe nafasi maana kwanza kajionyesha hamaindi pesa ,na gurani inasema kila gonjwa mungu kaweka tiba,tutajua tu kama ni mambo za kinaijeria ama ni vipi after yote bible ilisema siku za mwisho watatokea manabii wengi wakifanya kuponya kwa uwezo wa yesu ambaye siku ya mwisho wakitaka kufunguliwa mlango wa peponi watasema tuliponya kwa jina lako naye yesu atawambia ONDOKENI SIWAJUI ni unabii unatimia kutakuwa na matetemeko(japan,ireland)tetesi za vita-mashariki ya kati.
Mwisho uko karibu zaidi udhaniavyo kuna watu wametabili disemba 2012 mambo yanayotokea sasa yananifanya niwaze sana hebu google 2012 end of world usome mwenyewe.hata wimbi la uarabuni linaloendelea wanasema ni maandao ya the return of mahd,yani masiha alieahidiwa kama ni kweli tuna mwaka mmoja tu na nusu TUBU.and google that upime mwenyewe
nakumbuka huko nyuma mch. rwakatale wa mikocheni B assemblies of God aliwahi kutumia mtindo wa kununua vitambaa (leso) vyeupe na kuviombea kisha anawapa watu ati wakivitumia kama kuviwekwa kwenye viipaji vya nyuso zao au za wagonjwa wao nyumbani, wanapona maradhi yanayowasumbua. shuhuda nyingi sana zilitolewa na ilifikia mahali kama mtu yumo ndani ya basi akielekea kanisani na akagundua kuwa kasahau kitambaa nyumbani huteremka na kurudi kukifuata, yaani kikawa sacred kupita kitambaa cha kawaida.
binafsi sikuwahi kuunga mkono tabia ya huyu mama kuombea vitambaa na kuvifanya kama hirizi, na kwa kweli sikuona msingi wa jambo hilo kitheolojia.
sasa tena ameibuka Mch. Mwasapile akidai kupata ndoto juu ya mti ambao unapochemshwa, kikombe kimoja tu cha maji yake kinatosha kutibu magonjwa sugu kama ukimwi, kisukari, kansa, pumu nk. hapa pia sioni msingi wa kitheolojia.
kwa mujibu wa BBC, mch. mwasapile alisema si maji yale yanayoponyesha bali ni maombi. sasa mi najiuliza iweje neema ya Mungu ya uponyaji ijifungamanishe na maji kiasi kile? tena kiasi cha kwamba bila hayo maji neema hiyo haifanyi kazi? mbaya zaidi wanasema kuna masharti kama: lazima akupe kwa mkono wake, huruhusiwi kunywa zaidi ya mara moja nk. hapa neema ya Mungu inaletwa kwa masharti!
binafsi nashindwa kuiita karama, uwezo wa Mungu hauna mipaka ya mahali wala wakati. hainiingii akilini kwamba mti huo ukichemshwa mahali pengine nje ya kiiji cha samunge, hauponyi na babu akikuombea bila kukupa kikombe chake kwa mkono wake huponi!
siwezi kutoa hukumu juu ya babu lakini naamini Mungu ni mkuu na muweza kuliko anavyoonekana kupitia hali ya huko loliondo. biblia inatuasa, tusimzimishe Roho, tusitweze unabii, tujaribu mambo yote tushike lililojema na tujitenge na ubaya wa kila namna (1 thesalonike 5:19-22)
naomba mnielewe kuwa sikejeli ndugu zetu wanaogua magonjwa mbalimbali sugu wanaopata faraja ya pekee huko samunge kwa babu, la hasha. haya ni mawazo yangu tu yaliyojikita kutazama jambo zima kitheolojia zaidi na sijatumwa na mtu yoyote. pia tusiwabeze wale wanaoonyesha kuhoji mantiki ya kanisa la KKKT kujipambanua pamoja na huduma hii ya babu.
HUKUMU NI ZAKE BWANA
mbarikiwe sana wapendwa
Glory to God
<br />hapo umenena vema, by the way nasikia babu ametabiri kifo chake, atakufa siku ya jumatatu ya pasaka.
Juddy can you question Holy Spirit?
Unless you have all knowledge about Holy Spirit you cant question various styles of Holy Spirit.
Believe me beliefs are very complicated that that if you are not careful you easily become confused.
Every mirarcle that were performed in the bible was unique! Holy Spirit operates in that way, unless you are GOD!
The new testament asks us to question the spirits in operation. All miracles performed after redemption were through the name of Jesus which is the power above all in heavens and on earth. Its important to note that during Jesus time so was during prophets and priests before He came used media to perform miracles because the holly spirit was not yet released into the world. Alikuwa anavuvia watu au vitu na hivyo kusababisha miracle kutokea; lakini sasa yupo available in whoever believeth in the above all name Jesus. Hahitaji tena hizo media for our bodies are His temple and he uses our body organs to perform miracles. Bali katika yote bado nguvu na uweza una yeye Mungu wetu; kama la toka kwa Ibilisi halitadumu na itaonekana wazi lakini kama ni la Mungu basi If God say yes who can be against?
Wazungu na Waarabu walileta dini Afrika ili waweze kututawala vizuri nafikiri lengo lao limefanikiwa sana ... tunapoteza muda mwingi sana kwenye mambo ya dini na kubaki nyuma huku wao waliozileta hizo dini wakipiga hatua kila siku na sisi kubakia karne ya 18 ..hatuwezi hata kutengeneza toothpick wakati miti imejaa kila mahali.
Mkuu nakubaliana na wewe.....
Huyu babu angekuwa Mzungu, na anatoa tiba hii huko Yerusalem hakuna ambaye angeingiwa na mashaka........hata Judy mtoa mada.
Tatizo hapa babu Mnyakyusa, Huduma anaitolea Loliondo......Mashaka kibao!
Hivi alishawahi tokea mwafrika akaitwa nabii, mtume, mtakatifu na majina yoyote mazuri?...Waafrika tumemkosea nini Mungu? Hivi ni kwanini hata picha za shetani wanazochora wasanii huwa zinakuwa na rangi nyeusi na zile za malaika na watakatifu huwa nyeupe?......Waafrika tumelaaniwa au tunajishusha wenyewe?
Agrrrrrrrrrrrrr!!
nakumbuka huko nyuma mch. rwakatale wa mikocheni B assemblies of God aliwahi kutumia mtindo wa kununua vitambaa (leso) vyeupe na kuviombea kisha anawapa watu ati wakivitumia kama kuviwekwa kwenye viipaji vya nyuso zao au za wagonjwa wao nyumbani, wanapona maradhi yanayowasumbua. shuhuda nyingi sana zilitolewa na ilifikia mahali kama mtu yumo ndani ya basi akielekea kanisani na akagundua kuwa kasahau kitambaa nyumbani huteremka na kurudi kukifuata, yaani kikawa sacred kupita kitambaa cha kawaida.
binafsi sikuwahi kuunga mkono tabia ya huyu mama kuombea vitambaa na kuvifanya kama hirizi, na kwa kweli sikuona msingi wa jambo hilo kitheolojia.
sasa tena ameibuka Mch. Mwasapile akidai kupata ndoto juu ya mti ambao unapochemshwa, kikombe kimoja tu cha maji yake kinatosha kutibu magonjwa sugu kama ukimwi, kisukari, kansa, pumu nk. hapa pia sioni msingi wa kitheolojia.
kwa mujibu wa BBC, mch. mwasapile alisema si maji yale yanayoponyesha bali ni maombi. sasa mi najiuliza iweje neema ya Mungu ya uponyaji ijifungamanishe na maji kiasi kile? tena kiasi cha kwamba bila hayo maji neema hiyo haifanyi kazi? mbaya zaidi wanasema kuna masharti kama: lazima akupe kwa mkono wake, huruhusiwi kunywa zaidi ya mara moja nk. hapa neema ya Mungu inaletwa kwa masharti!
binafsi nashindwa kuiita karama, uwezo wa Mungu hauna mipaka ya mahali wala wakati. hainiingii akilini kwamba mti huo ukichemshwa mahali pengine nje ya kiiji cha samunge, hauponyi na babu akikuombea bila kukupa kikombe chake kwa mkono wake huponi!
siwezi kutoa hukumu juu ya babu lakini naamini Mungu ni mkuu na muweza kuliko anavyoonekana kupitia hali ya huko loliondo. biblia inatuasa, tusimzimishe Roho, tusitweze unabii, tujaribu mambo yote tushike lililojema na tujitenge na ubaya wa kila namna (1 thesalonike 5:19-22)
naomba mnielewe kuwa sikejeli ndugu zetu wanaogua magonjwa mbalimbali sugu wanaopata faraja ya pekee huko samunge kwa babu, la hasha. haya ni mawazo yangu tu yaliyojikita kutazama jambo zima kitheolojia zaidi na sijatumwa na mtu yoyote. pia tusiwabeze wale wanaoonyesha kuhoji mantiki ya kanisa la KKKT kujipambanua pamoja na huduma hii ya babu.
HUKUMU NI ZAKE BWANA
mbarikiwe sana wapendwa
Glory to God
Dada Judith,
Mambo ya MUNGU hayapimwi kwa theolojia hata kidogo bali kwa ROHO MTAKATIFU. Tunahitaji kukaa sana katika uwepo wa MUNGU maishani mwetu ili ROHO MTAKATIFU atufunulie ni kipi cha kweli na kipi si cha kweli vinginevyo twaweza kujikuta tukataa huduma ya MUNGU au kukubali huduma isiyotokana na MUNGU. Kuhusu suala la vitambaa yaweza ikawa si MUNGU kama mtumishi mwenyewe hayuko na MUNGU na inaweza ikawa ni MUNGU kama mtumishi mhusika yuko na MUNGU vizuri maana tunaona hata enzi za mtumishi wa MUNGU Paulo watu waliponywa kwa vitambaa.
Acts 19 (Amplified Bible)
11And God did unusual and extraordinary miracles by the hands of Paul,
12So that handkerchiefs or towels or aprons which had touched his skin were carried away and put upon the sick, and their diseases left them and the evil spirits came out of them
Hapo kwenye blue ndo msisitizo the power was in Paul na siyo handkerchiefs...Hata kunasehemu kivuli chake kilipomgusa mtu alipata uponyaji...Nasisitiza roho matakatifu yupo ndani yetu sasa hivi kama alivyokuwa kwa Yesu so its not about media its about the power that worketh in us...ndiyo maana nashindwa kum qualify mchungaji/babu au kum disqualify maana anasema dawa lazima akupe kwa mkono wake which means the power is inside him...Lakini pia a devil can do miracles in the same maner ndiyo maana lazima tuipe muda ili kweli ijidhirishe huku tukiendelea kuomba..Kitu kingine ni kuwa ili uwe muujiza wakimungu lazima uthibitishwe na vitu vitatu so far Babu peke yake ndiyo mwenye revelation why? Hii ni kanuni ya Mungu kwamba ushuhuda wa watu watatu ndiyo kamili...Time will tell.