Ipo mingi mkuu kwa wakatoliki wana kitu wanaita WATAKATIFU mfano Mtakafu Petro,Yuda Thadei etal....sasa huwa wana utaratibu wa kuwatangaza watakatifu kwa kusali sala kutumia jina la mhusika.Mfano wako kwenye mchakato wa kumtakatifuza Papa yohane paulo wa pili.
Inapigwa sala ikisikilizwa basi anatakatifuzwa na kuwa mtakatifu......
Miujiza ipo mingi pia Kuna watu waliotokewa na Mama Bikira maria(mama mzazi wa Yesu Kristo) hawa huwa wanapewa miujiza...mfano kuna binti mmoja miaka ya zamani MwanzaNyakahoja kama sijakosea) alitokewa na Bikira Maria akapewa upako sijui aliishia wapi.
Pia Bukoba napo nakumbuka zamani alikuwepo Mama mmoja wa kihindi anaitwa Mama Diaz alitokewa na Bikira Maria alikuwa anaponya wagonjwa nae sina habari zake tena walioko Bukoba watuambia alikuwa anakaa nyuma ya Kituo kikuu cha Polisi [central]
Kwa mujibu wako inaonyesha wakatoliki tu wa zamani ndio walikuwa wanafanya miujiza , humjui mkatoliki yeyote kwa sasa anayefanya miujiza, inspite tha fact that we hanve milions of them now adays.
Ok, nadhani maada ni Lwakatare tuache ya wakatoliki, maana hali ya hewa inaweza kuchafuka humu ndani.
We have been blindly following these denominations, hatujui wala hatufuatiliil history zake, vitu vingine ni sometime hata common sense zetu hazifanyi kazi sawa sawa.
1.Mtu anasema tutumie sanamu ya fulani tunafuata hata
hatuulizi mara mbili.
2.Mtu anasema ukifa utaombwa uende peponi , tutakuombea utoke pagatori , tunakubali ,
we dont ask.
3.Bible tells clearly that we should ask and pray by the name of Jesus, LEO mtu anasema tutumie jina la Maria , with no bibilical evidence
, tunakubali
4.Mtu anasema tufungishe au tufunge ndoa ya jinsia moja,
tunasema sawa.
5.Watu wanasema twende tukaubiri injili ulaya, bila passport, viza wala nauli,
still people say Yes
6.Kuwa tukamsubiri Yesu porini anarusi tarehe 30/4 /2008 WATU wanasema
ndiyo..
7.Kuwa kuna watu wanachukiliwa msukule, na kurudishwa still people say
Yes...
8.Kuwa Yesu alibatizwa maji mengi, let us by our reasoning with no biblical proof tubatizane kwa maji machache,
we say YES.
9.Kuwa fanyeni kazi wee, sisi wachungaji tunataka fungu la KUMI inspite the fact that, hakuna uthibitisho wa kutoa fungu la kumi kwa wakristo wa agano jipya still people
say YES.
10.Wengine wanaambiwa dini yao ndiyo ya kweli, na ukijiua unaenda peponi , huko unakutana na wanawake bikra 7, bila kuwaza kuwa vitabu vinigine vyote vya dini tofauti na ya kikristo vilikuja 600 years latar! bado watu wanasema
YES!
COMMENT
WACHUNGAJI WAONGO, WALIKUWAPO EVEN BEFORE JESUS WAS BORN refer Balaam! WATAKUWAPO TU.SWALA NI KWA KIASI GANI TUNASOMA BIBLIA NA KUWEZA KUCHAMBUA MAANDIKO SISI WENYEWE NA KUJUA ZIPI PUMBA NA ZIPI MAHINDI THATS IS OUR TASK. Mfano wengi wanamsema mama Lwakatare vibaya still we can not stand for our faiths! Be honest most of us hatuja question kuhusu dini zetu, tunakuwa wakali zinapoguswa hata kama kuna ukweli, kwa sababu ndiko tuliko zaliwa, kulia ,olea n.k
watu wasome biblia, waamue wenyewe based on the fact of bible....no compromise, no meander.
THIS WAS JUST ANA ALERT:
1Corinthians 4:14 :I do not write these things to shame you, but to admonish you as my beloved children.
Waberoya