Viongozi wa makanisa msitufukuze kanisani

Allan Joh

Member
Mar 12, 2017
9
24
Dada yangu ni mama wa watoto wawili ambao hawapokei huduma yoyote kwa baba licha ya baba kuwa mtumish wa serikali na kipato kizur tu.

Kama mjomba yapo majukumu niliyoamua kuyabebea kwani dada yangu hana kipato cha kumfanya aweze waendeleza watoto wake.

Mtoto wa kwanza wa dada angu anategemea kupata kipaimara mwaka uu mwez wa 12 katika kanisa la KKKT WAZO HILL.

Kanisa limewataka wazazi watoe sadaka waliyoiita sadaka ya alama ambayo sadaka iyo inapangwa na Mchungaji.

Awali wazaz waliomba kutoa walau 25k kwa kila mtoto lakin mchungaji akabatilisha na kutaka zinunuliwe furnitures za kanisa ambapo kwa kila mtoto atachangia 50k.

Watoto waliomaliza mafundisho wapo almost 180,na kati yao wapo wengi wenye wazazi ambao hali zao ni kama dada yangu au zaidi ya dada angu lakni wameamua kuwapa watoto wao walau elimu ya Mungu.

Kwa hali ii wapo ambao wamekwama na wamekubali watoto wasipate kipaimala.

Viongozi makanisan msitufukuze kanisani.
 
Sijaelewa!!!

Kwamba kwa utashi tu wa mchungaji analazimisha bora watoto wakose huduma ya Kanisa wazazi wasipotoa kila kichwa 50K sababu ikiwa ni kwenda kununua furniture?

Anauza baraka?kodi analipa kwa nani?mambo ya ajabu kabisa haya.
 
kama mafundisho mtoto kashapewa issue ya kupata icho kipaimara atapewa na Mungu na hakuna ela ya kuwapa

Nilimjibu hivyo dada angu uku roho inaniuma sana
 
Lutheran jaribu lao ni pesa na zinaa. Mimi nimekulia Lutheran ila sasa hali ni mbaya. Huko Moro wanaambiwa wazazi wachangie 200,000 kwa ajili ya kipaimara sherehe ifanyike Kanisani. Huku ili mtoto aruhusiwe kubarikiwa mzazi anatakiwa achangie si chini ya 100,000. Hali ni mbaya kwa kweli. Msiwabebeshe watu mizigo isiyo na sababu.
 
Ndo mana wakina mwamposa wana takeover
Tulioaminishwa ni watu sahihi wana tuvuna
 
Kipaimara kinakusaidia nn yesu kashatufia zambini mwanakondoo ameshinda tumfuate zamani enzi la agano la kale ilikuwa husamehew zambi zako mpaka uende kwa kuhani na kitu kama mbuzi, njiwa, kondoo kwa kadri ya uwezo wako halafu kuhani anaingia patakatifu papatakatifu anaenda kukuombea zambi zako husamehew lakin nw tunapiga magoti sehemu safi na salama tulivu tunaomba na kutubu zambi zetu wenyew namana yesu ametufia zambini.
 
Dada yangu ni mama wa watoto wawili ambao hawapokei huduma yoyote kwa baba licha ya baba kuwa mtumish wa serikali na kipato kizur tu.

Viongozi makanisan msitufukuze kanisani.
Kwa Mwamposa ungeyasema haya? Wachungaji nao wanalinganisha scenarios maana kule mnanunua maji na mafuta ya upako kwa maelfu wala hamlalamiki! Bora hata huyu amemaliza zinunuliwe furniture za Kanisa, kule kwingine mnanunua maji ya uhai mkidanganywa ni maji ya upako!
 
Dada yangu ni mama wa watoto wawili ambao hawapokei huduma yoyote kwa baba licha ya baba kuwa mtumish wa serikali na kipato kizur tu.

Kama mjomba yapo majukumu niliyoamua kuyabebea kwani dada yangu hana kipato cha kumfanya aweze waendeleza watoto wake.

Mtoto wa kwanza wa dada angu anategemea kupata kipaimara mwaka uu mwez wa 12 katika kanisa la KKKT WAZO HILL.

Kanisa limewataka wazazi watoe sadaka waliyoiita sadaka ya alama ambayo sadaka iyo inapangwa na Mchungaji.

Awali wazaz waliomba kutoa walau 25k kwa kila mtoto lakin mchungaji akabatilisha na kutaka zinunuliwe furnitures za kanisa ambapo kwa kila mtoto atachangia 50k.

Watoto waliomaliza mafundisho wapo almost 180,na kati yao wapo wengi wenye wazazi ambao hali zao ni kama dada yangu au zaid ya dada angu lakni wameamua kuwapa watoto wao walau elimu ya Mungu.

Kwa hali ii wapo ambao wamekwama na wamekubali watoto wasipate kipaimala.

Viongozi makanisan msitufukuze kanisani.
KKKT ???
 
Kipaimara kinakusaidia nn yesu kashatufia zambini mwanakondoo ameshinda tumfuate zamani enzi la agano la kale ilikuwa husamehew zambi zako mpaka uende kwa kuhani na kitu kama mbuzi, njiwa, kondoo kwa kadri ya uwezo wako halafu kuhani anaingia patakatifu papatakatifu anaenda kukuombea zambi zako husamehew lakin nw tunapiga magoti sehemu safi na salama tulivu tunaomba na kutubu zambi zetu wenyew namana yesu ametufia zambini.
Zambi ni nini mkuu?
 
Dada yangu ni mama wa watoto wawili ambao hawapokei huduma yoyote kwa baba licha ya baba kuwa mtumish wa serikali na kipato kizur tu.

Kama mjomba yapo majukumu niliyoamua kuyabebea kwani dada yangu hana kipato cha kumfanya aweze waendeleza watoto wake.

Mtoto wa kwanza wa dada angu anategemea kupata kipaimara mwaka uu mwez wa 12 katika kanisa la KKKT WAZO HILL.

Kanisa limewataka wazazi watoe sadaka waliyoiita sadaka ya alama ambayo sadaka iyo inapangwa na Mchungaji.

Awali wazaz waliomba kutoa walau 25k kwa kila mtoto lakin mchungaji akabatilisha na kutaka zinunuliwe furnitures za kanisa ambapo kwa kila mtoto atachangia 50k.

Watoto waliomaliza mafundisho wapo almost 180,na kati yao wapo wengi wenye wazazi ambao hali zao ni kama dada yangu au zaid ya dada angu lakni wameamua kuwapa watoto wao walau elimu ya Mungu.

Kwa hali ii wapo ambao wamekwama na wamekubali watoto wasipate kipaimala.

Viongozi makanisan msitufukuze kanisani.
Mungu akuondolee upofu na akupatie ufahamu.

Umesikia wapi kwamba safari ya Mbinguni ni shurti ulipe pesa?

Upo ktk kanisa lisilomcha Mungu ujue
 
Hili halijakaa sawa kabisa... Ila waumini mkiwa pamoja hili mnaweza kulikomesha......hii sio lazima.....inatakiwa iwe hiyari.....kaongee na kiongozi private.....hilo ni daraja la Kiimani kwa Mtoto.....pambania.....mtoto lazima apate Kipaimara...
 
Toa sadaka kama unampa Mungu na sio Mchungaji...

Wewe ukitoa sadaka nenea sadaka hiyo, amesema wananunua furniture..

Jenga madhabahu wanenee watoto hao juu ya madhabahu...

Wakabidhi watoto kwenye madhabahu iwalinde na kuwakuza vyema...

Ifike mahali tutambue shughuli zote za kanisa zinatumia pesa...
 
Back
Top Bottom