Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Asilimia kubwa ya watu wana comment huu uzi inaonekana hata kipindi chenyewe hawajakiangalia, kwanza aliponda sana nguvu inazotumia polisi dhidi ya waandamanaji, alihoji pia, ilikuaje waislam waende waandamane hadi makao makuu ya polisi, yaani wizara ya mambo ya ndani?
Kwasababu watu wameisha kuwa sugu, akasema, sifa moja wapo ya kumchagua kiongozi (alitolea mfano, kama unataka kumchagua mzee wa kanisa) angalia, je anapendwa na watu? kila ukimtazama, unaona kuna watu wengi wanamzunguka, hivi hapa kwanini tusiseme alikuwa anawafagilia indirect akina Dr. Slaa, kwani pamoja na kwamba wanapokuwepo kunakuaga na tension kubwa sana ya polisi, still watu wanaenda wengi tena kwa nauli zao.
Tujifunze kuchangia kitu kama kweli tunakijua vizuri badala ya kuponda kila kitu au kupongeza kila kitu while hatuna details za hicho tunacho kisema.