TAMKO
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,090
- 763
Akiongea Na makutano ya Maelfu ya watu waliofurika Kwenye viwanja VYA wazi VYA Tanganyika Packers ..""
""Leo nataka kuongea Na Raisi
Kuna ujumbe wa video umekuwa ikisambazwa kupitia you-tube, Kwamba pana Mtu anayejitapa Kufanya uhalifu Kwa kuwatisha Polisi , kuteka vituo VYA Polisi na kupora siraha Na Mabomu.
Nataka kusema Na Wewe Raisi, usitishwe Na huyu Mbwa-mfu asiye Na tohara. Sauti Yake Ni Dhaifu, Uwezo wake Ni Dhaifu Na Sababu zake zote Ni Dhaifu. Ewe Raisi wa Tanzania sikia, usiogope Na vitisho vyao, sisi wananchi wa Tanzania tuko IMARA, Jeshi letu la Polisi Mbali Na madhaifu mawili matatu lakini Bado LIKO IMARA sana. Jeshi la Nchi yetu LIKO IMARA sana.
Mweshimiwa Rais Kumbuka, Mtu atajiuliza Gwajima limekukera Nini wakati Wewe sio polisi wala Jeshi wala mbunge wala huna nafasi yoyote ya kisiasa, SIKIA WEWE!! Nchi hii Na viongozi wake wote tumo Kwenye Mtumbwi mmoja tu katikati ya Bahari, anapotokea kichaa mmoja anajaribujaribu kutoboa Mtumbwi Wetu Sote, ili tuzame, sio jukumu la Mtu Fulani tena, NI JUKUMU LETU SOTE KUMSAKA NA KUMWADHIBU. Ujuzi tunao, mioyo tunayo, Akili tunazo Watanzania Tutamwadhibu.
Narudia maneno ya Mwalimu Nyerere Kwamba Nia tunayo, Sababu tunazo, Na Uwezo tunao, tutampiga. Akili zao ni Za kishetani, Uwezo Wao ni wa kijini, Kwao wapo mashetani Kwetu Upo Mkono wa Mungu ALIYE Hai.
Kuna watu wanavituko, wanadhani Wao wakibeba panga au siraha Basi ni Wao tu walionazo Na ni Wao tu wawezao kuzitumia Ni kujisahau sana..
Mweshimiwa Rais usife Moyo, watu Hawa sio WAISLAM Kwa Sababu Uislam ni Dini ya Amani maana ya NENO Islam, wala sio wakristo, Hawa ni wahalifu watumiao kivuli Cha Dini.
Kwenye Kitabu Cha Biblia Kutoka 15:3 inasema BWANA ni Mtu wa Vita,JEHOVA ndio jina lake" inapotokea vita Mungu hugeuka na kuvaa umbo la Mtu Na kuingia kazini.. Mungu Yuko nasi Kama Wao majini yaliyo pamoja nao, tutawaondosha Na watajua Tanzania Yupo Mungu wa Kweli.
Leo Hii tutaufyeka uchawi Wao wanaoutegemea, tutayafyeka majini Yao, Uwezo Wao wote wa Rohoni Leo tutaufyeka, KaZi ya Jeshi Lako itakuwa Nyepesi sana wiki hii Na UTAWATIA MKONONI. ..."
UPDATE..!! Leo jumanne HATA masaa 24 hayajaisha
Polisi mkichelewa HATA wakusanya Mchanga MUNGU ATAWATUMIA kuwatia mbaroni jamaa hawa..!

Mkuu wa Operation na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini,Paul Chagonja,ametoa taarifa kuwa mtuhumiwa mmoja anaehusishwa na wale waliokuwa katika mapango ya Amboni amekamatwa na wachimba mchanga wa Mleni wanaofanya shughuli zao karibu na mapango hayo ya Amboni.
Mkuu huyo ameongeza kuwa, silaha moja iliyoibwa katika kituo kimoja cha polisi nayo imepatikana baada ya kumuhoji mtuhumiwa huyo.
Hata hivyo,bwana Chagonja amesema hawezi kutaja jina la mtuhumiwa huyo kwa sasa.
CHANZO:ITV
MY TAKE:
Wanaokamtwa na wachimba mchanga ndio wakusumbua Jeshi la Wananchi?!