Mch. Gwajima: Leo nataka kusema na Rais wa Nchi!!

Mch. Gwajima: Leo nataka kusema na Rais wa Nchi!!

Safi Gwajima hata wakija hapo kwako kulipiza kisasi tumia jina la Yesu mwanaume wa wanaume!umenifurahisha uliposema wanategemea majini hivi ni dini gani wanafuga majini vile??


Simamieni imani zenu, acheni tabia mbaya ya kukashifu imani za wenzenu. Ukristo haufundishi watu kukashifu imani za wengine, jifunzeni!
 
Huyu ndo Gwajima aliyevunja ndoa ya Mbasha .Hawa wachungaji badala ya kuchunga kondoo wao ndo wanawala wenyewe sina imani naye huyu mchungaji ni tapeli wa wake za watu.
 
Gwajima amesimama katika zamu yake kama kiongozi wa dini
kwa maana kwamba anaiombea nchi isiingie matatani na hili ni jambo jema,
Binafsi namuomba aendelee kuomba ili hizi sarakasi zisiwe zinahusisha huduma yake
Namkumbuka yule jamaa tuliyeambiwa alimtesa Ulimboka kisha akaenda kanisani kwake kutubu
akajikuta mikononi mwa polisi,kwa maelezo ya vyombo vya habari yule jamaa aliachwa huru na mahakama kwa kutoa faini ya sh.1000 ya kitanzania kwa kosa la kuwadanganya polisi.
 
jamani watanzania hatuna dogo yaani hata kile alichokifanya gwajima hatukioni? hivi nani anauhakika na anachoshutumiwa gwajima? wote hatuna ukweli coz hata huyo jamaa mhusika anaedaiwa kuibiwa mke hivi unafikiri mke mchezo? kwann asichukue hatua? kwenye vyombo vya haki? tunabaki kumsimanga mtumishi wa watu..nyuma ya hii skendo kuna watu wanakusanya mamilioni kwa kuuza taarifa na magazeti wakati sisi bundle lenyewe tu ni shiiiiidaaaaa???????....jamaa anaongeaga kweli aisee nilisoma gazeti la mtanzania alidaiwa kuibiwa mke alipopigiwa simu alikataa kuongea pia na sms hakujibu......
huu ni mchezo.....kwikwikwikwi.....
 
Si Kweli , usiamini kelele Za magazeti, tafadhali njoo mwenyewe uwaone Mbasha Na flora Na Mtoto Wao wako happy wanashughurikia tofauti zao.. USIWE chizi wa kuamini magazeti ya SHIGONGO

Msukule wa Gwajima
 
Nachukia imani za moto wa mabuaaaa mpaka basi tu. Nilidhani angetoa tamko kuwa kawanyang'anya hayo majini, akawapiga upofu ka Elisha. Akawapeleka wenyewe mpaka kwa Chagonja na kumkabidhi. Kumbe anasema ati Chagonja aingie mwenye mashimo hayo mengi tena yenye giza nene, ameshapoteza askari mmoja na wengine mahututi. Kweli utumishi wa 'jima nauonea mashaka.
Kama ujumbe huu umetoka kwa Mungu, amwombe ili amuongoze Chagonja mpaka pale walipo awakamate ka nzige aliye nyeshewa. Ntakuamini mia kwa mia 'jima kuwa weye unaongozwa na Roho Mtakatifu. Sio hivyo, acha sarakasi zako. Mrudishe mke wa mtu home si ngonjera humu jf.
 
Ugaidi futuhi wa Chagonja sitakaa kuuamini hata mtambike uchi mchana wa jua kali!
chadema ni chama cha watu wajinga sana kama mnaongea namna hii kwenye hiii issue ambayo ni ya kweli, naamini kweli kuwa kumbe hiki chama ni chama cha vijana wasiojua maisha na watu ambao hawana hata dira ila wamebakiwa na imani tu.
 
Back
Top Bottom