Sayaka
Senior Member
- Aug 3, 2014
- 162
- 50
Huna ukristo wowote Tapeli wewe.
Jamaa alishakuibia nini ?
Huna ukristo wowote Tapeli wewe.
Huyu ndo Gwajima aliyevunja ndoa ya Mbasha .Hawa wachungaji badala ya kuchunga kondoo wao ndo wanawala wenyewe sina imani naye huyu mchungaji ni tapeli wa wake za watu.
Mbonaa hujahoha amebaka ? Au kubaka ni sahihi ? Au uliwahi kuwa nae wakati anazini na flora ? Au nawe unasomea magazeti ya udaku ndo unapatia taarifa.
Jamaa alishakuibia nini ?
nampongeza Gwajima kunionyesha kuwa dini ni kichaka cha kuficha maovu yetu! Nje ya dini [MENTION=54444]NdebileTION] atabaki yule yule na matamanio yake.
Ugaidi futuhi wa Chagonja sitakaa kuuamini hata mtambike uchi mchana wa jua kali!
Jamaa alishakuibia nini ?