Mch. Antony Lusekelo na "shombo"


kwa mara ya kwanza nasikia nabii ana a.k.a
 
Mtu anaweza kuleta mada kwa kupotosha ajabu wachangiaji wanakuwa wengi(wenye uwelewa hafifu).
 

Utatoaje kama utohubiriwa mema ya nchi
 

Huyu mchungaji kama alibemendwa hivi,aendelee tu kuwaibia waumini wake lakini aache udhalilishaji,sie tuna uhakika gani kuwa mamayake sio shombo.
 
Hiyo yote tisa kuna siku aliponda wanaume wafupi eti wewe mwanaume mfupi utaoaje mwanamke mrefu afu wewe ndo kichwa cha familia mfupi kushindwa mkeo!!
 

Mkuu umenena! Dini huwafanya watu wasijitambue Kabisa. Kuna siku nimesikia alisema kwamba watu wanaokwenda Kanisani kwake Hawamfuati Mungu wala Yesu maana wamemuacha majumbani Kwao. Pale wanafuata miujiza yake! Du nikajua kumbe Ana nguvu za Giza! Lakini kwa mshangao Mijitu haijashtuka tu inazidi kumpatia Msimbazi na yeye kujiwekea zake mfukoni akitanguliza 'Asante brother'!
 
Alitoa mfano wa mfalme Daudi alivyomrejea mkewe wa zamani ambaye by then alikuwa mwanamke wa mwanaume mwingine. Akasema hakuogopa 'shombo'. Alimsifia kwa hilo
Watu wametafsiri vingine kumbe alikuwa anawatia moyo wafanye maamuzi wasijiulize ulize
 
Acha umbea na uongo leo kile kipindi chake leo kimerushwa hewani na mimi nilikiangalia takribani saa nzima hayo uliyoyasema hakuyasema acha uongo dont be stupid.
 
Acha umbea na uongo leo kile kipindi chake leo kimerushwa hewani na mimi nilikiangalia takribani saa nzima hayo uliyoyasema hakuyasema acha uongo dont be stupid.

Hata ukimtetea Lusekelo bado nitaamini ni.muongo mkubwa.mahubiri ga kila cku magari,hela,nyumba basi habari za dhambi na uzima wa milele mwiko!
 
Kitu kimoja nikwamba watu waache dhambi wamfate Yesu c lusekelo yeye anahubiri vya mwilin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…