CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Katika mahubiri yake leo, Mzee wa upako amewambia wanaume ambao wanaoa wanawake waliokwisha olewa au wamezaa kuwa kama hawaogopi "Shombo" waoe tu. Waumini wakaonekana kushangaa!!! Akasema NDIOOOOOOOOO!!! kuwapoza.
Wanaume wenzangu tulioguswa, tufanyeje?
Tusikuze maneno bila sababu. Alitumia neno 'shombo' in what context?
Hata issue hiyo unacomplicate!! kweli?
Tusikuze maneno bila sababu. Alitumia neno 'shombo' in what context?
Alitoa mfano wa mfalme Daudi alivyomrejea mkewe wa zamani ambaye by then alikuwa mwanamke wa mwanaume mwingine. Akasema hakuogopa 'shombo'. Alimsifia kwa hilo
Alitoa mfano wa mfalme Daudi alivyomrejea mkewe wa zamani ambaye by then alikuwa mwanamke wa mwanaume mwingine. Akasema hakuogopa 'shombo'. Alimsifia kwa hilo