MC Pilipili afungua Kanisa

Watu wamejawa povu sana..sijui ni wivu au ni upumbafu umewajaa..ila kwa namna gani cha msingi injili acheni ihubiriwe.

Shida mmejawa akili za kimasikini tu.
Watu wanatoa sadaka na wanaishi vzr tu.

Fanyeni kazi..kama vipi nanyi fungueni malanisa na misikiti yenu kuna aliyewakataza.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagame naanza kuuona usahihi wake katika hili,maana hii ni hatari,fursa ipo ccm au kanisani!katika vitu ambavyo shetani anafurahia ni huu udhalilishaji wa kiimani.
 
Hivi Hawa wafuasi wa watu Kama hawa huwa Wana akili kweli?!!! Bado kizazi cha kipumbavu kipo sana kwenye jamii zetu.

Vilevile naona kuna haja ya utaratibu wa kuanzishwa makanisa kuwekwa vizuri sio Kama ulivyosasa, yaani ovyoovyo tu.
Mkuu yameandikwa, acha yatimie
 
Bila shaka nao hutumia mistari hiyo hiyo kuwahadaa na kupiga pesa
 
Kwakuwa tunajua Mungu hadhihakiwi tusiwe watoa hukumu. Tumwache yeye wanayemhubiri adhihirishe kwamba ni wakweli au waongo.
Sisi tumwombe Mungu atupe hekima ya kuzipima kwa Imani na maombi
Kuna siku ukiwa na upako unakuwa mahiri sana wa kutuponya.Ameen!
 
Eeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pep tumebaki wenyewe sasa kufungua.
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…