MC Luvanda umenikwaza

wanaume tunahaibishwa na wivivu wachache, na ukiona mtu analilia mwanamke sana basi hajui kutongoza au hana hala pia inaweza kuwa vyote kwa pamoja
Kuna tofauti ya kutafuta mwanamke wa kugegeda na kutafuta mwanamke wa maisha; ingawa ni kweli kwamba hata huyu wa maisha nae hua unagegeda but wa maisha ni tofauti na huyo unae malizia HAMU. Nahisi we bado hujawahi penda, subiri kidogo tu umri ukikaa sawa utaelewa.
 
Kaka pesa siyo kila kitu kwa wanawake, pia usiwafanye wanawake hawana pesa, wapo wanawake wengi wwnye nyumba zao, gari na biashara lukuki hao nao ukiwapenda utaenda na hela?????. Pia kuwa na hela si kigezo uwe penda penda utakuja lala na jini halafu likunyonye damu siku ya pili ukazikwe na pesa uwaachie wajomba zako wagombee na watoto wako wadhulumiwe waishe kama vifaranga vya kuku mbele ya bwana mwewe.
 
Mkuu asante kwa kunifariji na kunitia moyo
You are not alone brother, so many people have gone through it ... Personally I've been there, I know how it feels kumpoteza mtu ambaye akili ilishajiandaa kuishi naye kwa miaka 30+ mbele. Lakini huwa nikiangalia maisha ya huyo ambaye angekua mke wangu huwa najifariji kwamba bora aliniacha tu.
 
Duuh mdau pole...nimemuona zuwena
Ni mkalii..mrefu.umbo zuri..jicho sasa..
Na.leo tumewekewa video ya harusi...anajua kuchezaaa....
Pole sana lzm uumie
Tafadhali nambie imewekwa wapi nikaitazame
 
Hahahaha pole saana, I know the girl. Nadhani pesa ilipungua kidoogo, wenzako wakawahi
 
Back
Top Bottom