MC Luvanda umenikwaza

MC Luvanda umenikwaza

Mrs Simbwa wazee wa mezani, now nasikia wanaenda kukata rufaa fifa
Usichafue koo za watu kwa kufananisha na unaowachukia, chuki zako kwa simba hazina uhusiano wowote na ukoo wa Simba
 
7510207e31ec9e2b0e229adf52c7e901.jpg

MashaAllah
MkuuMkuu umeleta picha tena huku, ndiyo umekuja kunichoma kabisaa.
 
Kwa kweli mwenzenu yamenifika hapaa, yaan nimekosa hadi usingizi, niko kitandan naperuz simu yangu, ghafla nikasema nichungulie kunani instagram, ghafla naona picha ya harusi ya alokuwa mchumba wangu, tulikuwa tunapendana ila kigezo cha dini ndio kilotutenganisha, tukashindwa kuona. .

Yaan Mc lukuvanda umesababaisha leo sitalala, walah. Zuwena jua tu ni nakupenda.
Aisee pole sana mkuu
 
MkuuMkuu umeleta picha tena huku, ndiyo umekuja kunichoma kabisaa.
Pole sana ila ukweli Zuwena si wa mchezo mchezo, kama kaopoa HB wa viwango hivi sipati picha wewe ni wa viwango gani
 
Usichafue koo za watu kwa kufananisha na unaowachukia, chuki zako kwa simba hazina uhusiano wowote na ukoo wa Simba

Taratibu mamaa, chuki zipi hapo? Pole kama umekwazika maa.
 
Asante, Mungu ameshanipa mwingine ila nashangaa jinsi roho ilivoniuma, kiasi cha kashindwa kulala. Japo bado sijafunganae ndoa.

Hata huyo ukiremba utaporwa tu!,

unakuwa na demu halafu Muda Mwingi unatumia kuzunguka nae kwny Malls sijui beach sijui Cinema n.k yaani 95% ni Mizunguko na ku chart halafu 5% ndio mnafanya Kazi ya Msingi kwanini usiporwe?
 
Back
Top Bottom