Zipapa zipapa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 409
- 118
Duh
dah jamaa kakamatia kiuno vizuri sana.![]()
MashaAllah
Hahahaha mkuu unazidi kumpa machugu mwenzakoNdio hivyo Mungu kamsaidia kampata Is-haq! Na wewe mtafute Lilian!
Haamni kumpata mtoto zuweinerdah jamaa kakamatia kiuno vizuri sana.
Sister mbona una makusudi saana?dah jamaa kakamatia kiuno vizuri sana.
hii ni namna ya kujifariji tu.Shukuru mungu hujui alichokuepusha.
siyo mie aiseee, hao walioleta picha ndiyo wana makusudi.Sister mbona una makusudi saana?