MC chichi hatunae tena

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Habari zilizotufikia hiv punde zinasema
yule mc mashuhuri shupavu dada yetu MC CHICHI
Amefariki dunia muda s mrefu uliopita...Mwenyezi mungu amrehemu sana
dada yangu sikuwah kumjua vizuri mpaka nilipomkuta akkiichambua vizuri
KEKI ikiwa na mafiga matatu..loh R.I.P MC CHICHI BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE TULIKUPENDA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI DADA YANGU..
SITOKUSAHAU MAISHAN MWANGU...NA WOTE ULIOWASHREHESHA....MWENYE TAARIFA ZAIDI WAPI NA LINI MAZISHI NAOMBA MZIDI KUTUPA TAARIFA KUPITIA HAPA
Mungu awape roho ya uvumilivu ndugu jamaa na marafiki
 
Du hii miezi ya May, June na July tutalia sana, R.I.P Mc Chichi
 
du hii miezi ya may, june na july tutalia sana, r.i.p mc chichi

we junius mbona unatutisha wenzio......jana nimeota kuna mwana jf tunamwaga kwa machozi wengine wakishangilia kwa ukamanda wake sijui nani....sasa ana wewe hayo ndio unahitimisha ndoto kabisa

msiogope kila jambo na waakati wake
 
Aaaah aaah usiogope
nipeleeke udaku nilikuwa sijakuona muda mwingi nkasema hapa ndipo
 
we junius mbona unatutisha wenzio......jana nimeota kuna mwana jf tunamwaga kwa machozi wengine wakishangilia kwa ukamanda wake sijui nani....sasa ana wewe hayo ndio unahitimisha ndoto kabisa

msiogope kila jambo na waakati wake

Usishituke Mkuu, vipindi hivi mivutano ya nguvu za sayari na jua inaleta mambo ya mishtuko mengi, yanakuwa mazuri mabaya ila niliyowahi ku experience ni mambo mabaya ya kushitua kama kifo cha Amina Chifupa, Prof. Haroub Othman, Nasma Khamis, Michael Jackson...n.k wengine ni marafiki zangu tu wa kawaida tu walifariki ghafla na wengine kutokezewa na matukizio mabaya mabaya bila ya kutegemea, yote haya katika miezi hii huu ni mtazamo wangu na nilipojaripu kufuatilia kwa "wataalamu", waliyahusisha matukio hayo na mivutano ya sayari na mambo yanayohusiana nayo...walijaribu kunifafanulia kuwa inafika kipindi mivutano ya nguvu za sayari huwafanya binaadamu na viumbe wawe kama wendawazimu na nyakati hizo utaona dunia ina matukio ya ajabu kama vita vya wenyewe kwa wenyewe, ugomvi baina nchi na nchi, maandamano ya ghasia na vurugu na vitendo vya kihalifu vingi vya kushtukiza shtukiza, wakanipa mfano wa mwezi kama wa April ambao Martin Luthter King Jr aliuwawa, mauwaji ya kimbari Rwanda yalitokea, vifo vya marais wawili wa Rwanda na Burundi vilitokea kwa style mbaya, Kuuwawa kwa Abeid Aman Karume n.k
Any way, hayo yalikuwa katika kudadisi tu na siyaamini sana ila jamaa walinipa mambo mengi sana na evidence ambazo ni sahihi kabisa. Ikifika miezi kama hii na mingine huwa nakumbuka na hali zile "wataalamu" wale walivyozielezea, bado naamin kuwa Mungu ndiye anaepanga lolote litokee kwa wakati wowote.
 
Nimehudhuria Mazishi makaburi ya Kinondoni, kitu ambacho nimekishudia ni kitendo cha Jenaza lake kubebwa na MC wa kike peke yao. Hii mara ya kwanza kwa wanawake kubeba jeneza!.

Halafu wakavalia sare maalum iliyomachi na rangi ya nguo aliyovikwa Marehemu iliyomachi na rangi ya Jeneza lake.

Hii ni mara ya kwanza nimeona mshikamano wa ajabu kati ya ma MC.

RIP MC CHICHI.
 
Nimehudhuria Mazishi makaburi ya Kinondoni, kitu ambacho nimekishudia ni kitendo cha Jenaza lake kubebwa na MC wa kike peke yao. Hii mara ya kwanza kwa wanawake kubeba jeneza!.

Halafu wakavalia sare maalum iliyomachi na rangi ya nguo aliyovikwa Marehemu iliyomachi na rangi ya Jeneza lake.

Hii ni mara ya kwanza nimeona mshikamano wa ajabu kati ya ma MC.

RIP MC CHICHI.

Mbwembwe zote hizo zitamsaidia nini maiti?
 
Maria Roza una uhakika na unacho kisema!?

at least ni last moment ya marafiki na ndugu na jamaa ku-fanya kitu ambacho wanhependa kiwe cha furaha lakini kimekuwa cha huzuni wakati mwili wake ukiwa bado kwenda nyumbani kwake pa milele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom