Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
kwani aliigiza mkaksi sana au...?
AshaDii kwahiyo yeye analiwa au anakula?
Huyu nilimhisi muda mrefu kwa jinsi alivo tu,huitaji darubini kugundua ni tikiti maji
walimwengu viojaHahahaha!Acha tuu babangu! Dunia hadaa...
GAY kivipi? Ni "wali mafta" au "Basha"? Lakini muonekano wake hata katika ile series ya Prison Break mimi nilikuwa nautilia mashaka.Yaani jamaa yupo laini laini sana kama binti vile kumbe ni GAY duh!!!
Mbona habari ya kitambo
Alishajitangaza wakati walipo maliza tu Prison Break. Inasemekana alitaka kujitangaza kabla ya hiyo series kuisha, akakatazwa/shauriwa kuwa asifanye hivyo hadi amalize contract yake ya kucheza Series hiyo kwa hofu ya kupunguza Fans wa series hiyo.
Inasemekana alipokua anaigiza hiyo tayari alikua katika mahusiano serious na mwanaume mwingine ambae walikua wakiishi nae kwa siri kwenye nyumba yake ya kifahari.
habari ndio hiyo mdau anatoa sefuri!!! nasikia kazitapakaza mwenyewe habari hizo pande za urusi