Sijaelewa!!!anadonolewa au????
AshaDii kwahiyo yeye analiwa au anakula?Alishajitangaza wakati walipo maliza tu Prison Break. Inasemekana alitaka kujitangaza kabla ya hiyo series kuisha, akakatazwa/shauriwa kuwa asifanye hivyo hadi amalize contract yake ya kucheza Series hiyo kwa hofu ya kupunguza Fans wa series hiyo.
Inasemekana alipokua anaigiza hiyo tayari alikua katika mahusiano serious na mwanaume mwingine ambae walikua wakiishi nae kwa siri kwenye nyumba yake ya kifahari.
Sijaelewa!!!anadonolewa au????
Hivi hawa watu shida yao hasa nini,kifanyio wanacho fedha wanayo bado tu wanahitaji starehe ya mlango wao wa uwani.(0)sielewielewi wamelogwa au???
Husomeki.