Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,175
- 14,145
Sasa wewe unafurahia kutokea kwa mabaya tu kwan ushabaguliwa kupewa huduma yoyote kisa wewe ni member wa chama fulani? Maana shule wanasoma watoto wetu wote,barabara na madaraja tunatumia wote na hata hizo ndege mnazoponda si huwa mnazipanda? Au ushazuiliwa kupanda ndege kisa wewe sio CCM? Yaani nyie watu ni watata sana.Sina chama ila mnafanya nianze kuwachukia kabisa yaani.Wewe mrundi unafurahia hasara ya ndege tunayopata ndiyo maana uko kimya.
Wewe si ndiye dawa mwenyewe ambaye huna dili kabisa kwa sasa kwa sababu ugonjwa wa kifisadi haupo tena (Malaria ulikuwa ufisadi ya ndugu yako)Jibu hoja ya ndege mambo ya dawa ya quinine anzisha mada yake ujibiwe na wataalamu wa MSD.
walidhani biashara ya ndege ni kama ufugaji wa ng'ombe
Hawa watu ni wa ajabu sana mkuu, mimi sio mshabiki wa vyama vya siasa ila kama mleta hoja ni mpinzani basi kuna shida na aina ya upinzani tulio nao nchini.Nyie watu hakika kuna mahali mnalipwa, huwezi kushupaza shingo namna hii.
Tatizo la usafiri wa anga halijaikumba TZ peke yake, ingekuwa nchi yetu ndio pekee imeumia hapo ungekuwa na hoja, lakini hili janga ni la dunia nzima. Unataka serikali ifanyaje hapo?
Waliokaa kimya ndio wamefarijika, sisi tunaopiga kelele hatujafarijika.Kwa hio umefarijika
Mataga tulia hapo chini sindano ikuingie vizuri.Kama ilivyo kosa matumizi Quinine baada ya ugonjwa wa malaria kutokomezwa na serikali ya awamu ya 5 na ndivyo wana ufipa mmekosa kabisa muelekeo, hamjitambui kabisa na hamjui vipawa mbele vyenu kwenye huu uchaguzi ni vitu gani. Wewe endelea kutafuta wagonjwa wa Malaria ili waitumie hiyo Quinine wakati wadudu wanaosababisha Malaria hawapo
Uchaguzi huu ninyi ndiyo sindano zipo makalioni, yaani mdungaji kashikilia hataki kuachia dawa, mtakoma.Mataga tulia hapo chini sindano ikuingie vizuri.
Mataga punguza jazba najua kisu kimegonga mfupa ila kuwa mvumilivu sindano ikungie vizuri.Acha kukurupuka na wewe usiwe mdwansi
cha msingi acheni ushamba kukuta viuno airport kushangilia ndege ambazo kwasasa zimepark.kwahiyo Tanzania kama nchi tusimiliki ndege?
Quinine au ulikuwa na maoni gani labda na wewe kuhusu nchi kuwa na flag carrier?
Sie twala bata tu, mgombea wetu wa urais na CCM inakubalika 100%Mataga punguza jazba najua kisu kimegonga mfupa ila kuwa mvumilivu sindano ikungie vizuri.
sisi hatuli bata ni wachafu.Sie twala bata tu, mgombea wetu wa urais na CCM inakubalika 100%
masikini matagaUchaguzi huu ninyi ndiyo sindano zipo makalioni, yaani mdungaji kashikilia hataki kuachia dawa, mtakoma.
Unatuletea story za mjinga mmoja eti hata mtoto wa jirani kafeli fomu foo kama wetu.Dunia nzima ndeg ziliopaki ni za Tz tu?
Wakimbizi na wahamiaji ni hawa wanaolitia hasara taifa na hawa wanaowasifia kwa kutuingiza loss kubwa.Serikali naomba mthibiti mambo ya uhamiaji na wakimbizi.Matokeo yake miaka michache ijayo tunapata watu kaliba ya mtoa mada.
Siyo unaingia kichwakichwa halafu unajiita risk taker, yakupasa ukapimwe mkojo bro.Kuna maamuzi yanahitaji kufanya kwa namna unavyoona, sio kila mtu anaweza support ideas zako kwa maana kila mmoja anaona tofauti, wengine mithili kama yako mnaogopa risk kuliko kutazamia ukuaji wa mradi, hakuna biashara isiyo na falls and rise, lazima kama mfanyabiashara uwe risk taker.
Shuleni mnasomea course gani zisizo hata na Economics marketing ,financial management, cost account, business mathematics, account maana haya masomo ni msingi katika maisha yetu ya kila siku
Mjinga ni yule anaemlaumu mumewe kuwa mtoto wake hajaenda shule miezi mitatu ilhali watoto dunia nzima walifunga/wamefunga shule kwasababu ya corona pandemic.Unatuletea story za mjinga mmoja eti hata mtoto wa jirani kafeli fomu foo kama wetu.
Unataka povu atokwe nani?Kokoto?Miti?Ni kama umetokwa na povu sana,
Nimejiona mjuaji?Unataka nijione sio mjuaji sababu wewe unataka?Unaweza kujiona mjuaji kumbe ni mtupu waulize wenzako wanakuonaje ndiyo utajijua wewe ni mpuuzi kiasi gani
Nimesaidia nini na kwa nani?Binadamu nimekuja mwenyewe,sipo responsible for anybody,na yeyote hayupo responsible for me!Wewe unayoijua serikali umeisaidia nini?
Baba katika familia ndiyo muhimili lakini sio kila mtu anaweza kuwa baba sio kama wewe, kuwa baba inakuchukua kuwa na mambo mengi na yenye faidi kwa wengi ndani ya familia
Mwala bata au mnaliwa bata?Sie twala bata tu, mgombea wetu wa urais na CCM inakubalika 100%