Alliance of cowards and traitors?
Na maandamano ya UKAWA nchi nzima yameishia wapi? Make nasikia eti wanahaha kuonana na Rais ili wakanye Juis ya ikulu.
Hivi ile juisi huwa inachanganywa na matunda gani kiasi kwamba iwakoseshe usingizi wapinzani?? Tafadhali mwenye kujua na atujuze.
)Mkutano wao mkubwa saaana ulifanyika pale Singida.
ATC ndio nini?
Na maandamano ya UKAWA nchi nzima yameishia wapi? Make nasikia eti wanahaha kuonana na Rais ili wakanye Juis ya ikulu.
Hivi ile juisi huwa inachanganywa na matunda gani kiasi kwamba iwakoseshe usingizi wapinzani?? Tafadhali mwenye kujua na atujuze.
()
Kwa Mwigulu au ?
Ni shirika la ndege Tanzania wana ndege moja wameajiri wa 100.ACT ni chama kipya cha siasa kilichoanzishwa mahususi kupunguza makali ya upinzani sera zao kubwa ni CDM wabaya sana,CDM chama cha kaskazini blah blah nyingi.Utazidi kushangaa kama si kukasirika ACT hata wewe umeshiriki kuianzisha bila kujua au kupenda hasa kama wewe ni mfanyakazi na unakatwa fedha zako na NSSF lazima umechangia ACT au kama umewahi kutembela mbuga za wanyama Tanzania au kama wewe ni mdau wa sekta ya utalii umeshiriki kuanzisha ACT kwakuwa TANAPA waliamriwa na mamlaka za juu watoe mifedha ya kuanzisha huu mradi usiokuwa na mbele wa nyuma ni hayo tu ndugu yangu laki si pesaATC ndio nini?
Unataka uongozi ACT?g
Alliance of cowards and traitors?
kulikuwa matangazo mengi ya kuhusiana mikutano mikubwa (kutikisa) ya ACT kuanza tarehe 22 mwezi nane, sasa hautuon mrejesho au tarehe wamebadilisha? au kelele za chura mwalimu kaijage njoo utujulishe.
Tetesi nilizozipata ni kwamba mwalimu kaijage yuko kliniki ana ujauzito wa zitto,mikutano imehairishwa
Kamwe siwezi kujiunga na kundi lolote lile ambalo limeamua kuisaliti Tanzania na Watanzania ili wanufaike financially. Hivyo hilo la mimi kujihusisha na kundi la wasaliti kwa namna yoyote ile kamwe halitatokea hata siku moja.
Sasa ATC sijui wapo wangapi hapa JF nawaona ona utadhani wapo wengi kumbe kelele tuu.Yaani wao sera ni kuiponda Chadema badala ya kutafuta njia ya kuing'oa CCM washike dola.