Mbwembwe za mikutano ACT zimeishia wapi?

Mbwembwe za mikutano ACT zimeishia wapi?

Manyunyu hayawezi kuleta mafuriko hata siku moja, wache watoto wadogo ACT wakalale kwani ngoma yao ya kitoto haina mkesha.
 
ACT sio chama cha mavuvuzela,bali ni chama kinachofanya kazi zake kimkakati,kwa sasa chama kimepata mafanikio makubwa tofauti na wengi walivyotarajia,watanzania wa maeneo mbalimbali wa vijijini na mijini wamejitokeza kuupokea Uzalendo toka kwa viongozi wa chama mbadala kwa mustakabali wa watanzania.

Hata wewe ulietegemea kuona ACT ikikosa uungwaji mkono tunakukaribisha kwenye chama hiki,hiki ni chama cha watanzania wote,ubaguzi kwetu ni mwiko.

Naambatanisha na baadhi ya piccha za mikutano ya ndani na ile ya hadhara halafu mpime kwa kulinganisha na mikutano ya vyama vyenu vilivyopoteza mvuto.
 
Back
Top Bottom