copper wire
Member
- Aug 10, 2014
- 12
- 4
kulikuwa matangazo mengi ya kuhusiana mikutano mikubwa (kutikisa) ya ACT kuanza tarehe 22 mwezi nane, sasa hautuon mrejesho au tarehe wamebadilisha? au kelele za chura mwalimu kaijage njoo utujulishe.
ATC ndio nini?
ATC ndio nini?
ACT nimekosea lkn hata hivyo umeelewa.
ATC ndio nini?
ATC ndio nini?
Mkutano wao mkubwa saaana ulifanyika pale Singida.
You are commenting in a wrong thread sir!Na maandamano ya UKAWA nchi nzima yameishia wapi? .
Chama ambacho hata viongozi hakina kamwe hakiwezi kuwa na mafanikio yoyote yale na pia chama ambacho kimekubali kutumika na chama kilichopo madarakani ili kukisaliti chama kikubwa cha upinzani nchini pia kitakuwa kinasuasua tu na hatimaye kujifia tu. Tangu tuanze kuisikia ACT ni zaidi ya mwezi wa tatu sasa, lakini hadi hii leo chama hiki kimeshindwa kutangaza safu yake ya Viongozi wa juu wa chama hicho huku wakishindwa kutoa hata sababu ya hali hii imesababishwa na nini. Kuanzisha chama si lelemama.
You are commenting in a wrong thread sir!
Tunaongelea ACT, sio UKAWA.