Kweli maisha hayapo fea
Wakati wewe unasoma kwa mkopo mwenzako katika umri kama wako anaingiza mamilioni kwa mguu wake tu
Miaka michache baada ya kustaafu soka anarudi shule anasoma kwa pesa zake mpaka Phd na kuja kuwa bosi ofisini kwenu
Tafuta pesa kwanza elimu utasoma hata ukiwa babu